muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,543
- 3,598
Asante sana kiongozi [emoji120]Ngoja kesho nikakuulizie pale Salama Bearing Kariakoo
Ukikosa Used au ukiona bei ya mpya imechangamka njoo nikuagizie mpya zenye exact the same part number.Habari wakuu,
Nilinunua gari langu tangu mwaka 2016 ilipofika mwaka 2017 lilianza tatizo lakuwa linakomea gear namba 3. Nilikaa nalo kwa muda karibia miezi sita ndiyo kuja kupata ufumbuzi ni knock sensor.
Nilitafuta used zikawekwa na tangu siku hiyo gari likapona na kurudi uhalisia wake. Tatizo lilichukua muda mrefu kwa sababu naishi mkoani na mimi kutaka fundi huku mpaka nijiridhishe sana ndiyio niamini kwani najua magonjwa mengi ya magari huwa yanatokea garage.
Mwaka jana mwezi wa 12 lilianza tena shida, nilikuja kwenda garage moja nikafanya diagnosis likaonekana sensor kama 5 hivi zinashida, nilizitoa nikaenda mwanza kutafuta zile zifananazo na hizo kwa kutumia part namba nikakosa (mimi kama layman napenda sana kutafuta nisivyo na utaalamu navyo kwa kutumia part namba kutoka kwenye kifaa original nilichokitoa).
Nilikuja kupata (used tena kwa kuagiza kutoka kwa wapemba Ilala) lakini inaonyesha ubora wake siyo mzuri kwani na zingine nilipewa ambazo part namba ni tofauti ila wao wakashauri zinafaa. Tatizo langu limetatuliwa kidogo sana lakini speed ya gari langu sasa haizidi 50, tena kwa kubembeleza. Pump, plug na coil zote tumeangalia lakini ikaonekana hazina shida.
Malengo ya uzi huu ni kupata ufahamu ninapoweza kupata sensor hizi mpya tena genuine (Dar) ili niweze kununua. Na nikiweka hizo ndipo ninaweza kuangalia performance yake na kuangalia diagnosis upya kujiridhisha kama gonjwa limepona au kunamagonjwa mengine nyemelezi ambayo sijaya note.
Hapo chini ni list ya vifaa ninavyovihitaji lakini pia na picha zake. Kuagiza china naona kama itachukua muda.
Asanteni.
- Oil pressure valve engine variable timing 15330 20010 0110 na
- Oil pressure valve engine variable timing 15340 20010 0120
- Oxygen sensor (air fuel sensor) 89465 48010
- Oxygen sensor (Lambda sensor) (zipo mbili zote zikiwa na part namba moja ) 89467 48110
Hivi vitu ukitaka Original kuna baadhi ya maduka hapa mjini uwe na angalau 2m.Habari wakuu,

Yes, hizo mbili za kwanza.Hio picha mbona kama ya vvti?
Si mchezo, hamna namna inabidi kupambana tu. Hata kama ni used basi nitatamani kutoka kwa muuzaji reliable anakuchomolea kwenye engine (mswaki) imported.Hivi vitu ukitaka Original kuna baadhi ya maduka hapa mjini uwe na angalau 2m.
O2 sensor peke yake inafika 400k.
Spare part Original hata za Passo bei yake siyo mchezo.
Asante sana kiongozi.Wasiliana na fundi huyu atakusaidia sana..0718239703
Hizo oil control valve sawa maana zinakuja na engine.Si mchezo, hamna namna inabidi kupambana tu. Hata kama ni used basi nitatamani kutoka kwa muuzaji reliable anakuchomolea kwenye engine (mswaki) imported.
Ndiyo, Engine ni 1 MZHizo oil control valve sawa maana zinakuja na engine.
Hizo O2 sensor zinakuja na exhaust na wengi huwa wanazitoa wanazitundika tu...
Engine yako ni 1mz?
Cheki nae huyo JituMirabaMinne atakusaidia wasiliana nae akusaidie kupata hizo spare parts huyu ndiyo MTU anayesadia watu wengi hapa jamiiforum....Ndiyo, Engine ni 1 MZ
Asante sana kiongozi, nitafanya hivyo!Cheki nae huyo JituMirabaMinne atakusaidia wasiliana nae akusaidie kupata hizo spare parts huyu ndiyo MTU anayesadia watu wengi hapa jamiiforum....
Achana na mafundi vishoka
Nimechemka, nimejaribu kuulizia kwenye duka la PACIFIC, KISANGANI na SALAMA BEARING wote hawa hawanaAsante sana kiongozi [emoji120]
Mkuu, gari langu lipo na lipo vizuri sana na huwa sina tatizo nikiwa barabarani safari ya umbali wowote ule.Gari za 1998 bado zipo mtaani!
Ni kweli kabisa mkuu ukisemacho! Sema mimi siyo wewe na wewe siyo mimi [emoji106]Mimi nisivyo penda stress za magari, nikiona gari imeanza kunipeleka garage kipumbav pumbavu, mara ya kwanza navumilia ikifika ya tatu nauza... WaTz mnapenda kung'ang'ania magari hadi yawafie... Hata kama gari unaipenda kiasi gani ukikaa nayo miaka 5 inatosha uza nunua nyingine...