Sensa ya WanaJamiiforums Wote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sensa ya WanaJamiiforums Wote

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Acha Uvivu, Aug 25, 2012.

 1. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Naona wakala kanitembelea:
  Karibu wakala. "Asante, nimekuja kuhesabu kwa ajili ya maendeleo ya jukwa letu" Sawa, karibu.

  Tunaendelea hivi;
  1. Jinsia-me
  2. Umri-miaka 29
  3. Wake-watatu
  4. Watoto-kila mama anae mtoto wake, sina uhakika km ni wangu.
  5. Kazi-naingiza siraha na sumu za ccm toka nje (ila Slaa anataka kuniharibia)
  6. Dini (samahani kwa kuchokonoa maana hii hatujaagizwa)- usihofu, naamini ktk ufisadi, maana ndo unanifanya niishi na niwe na wake 3 na nyumba ndogo 6. Swali la nyongeza "tuseme wewe ni mpagani?" Ehewaaaa, hujakosea.
  7. Nyumba yako, umepanga?- nimepanga ila ninayo yangu ambayo nimepangisha, inaizidi ya E. Maige kwa thamani.
  8. Shule-UPE
  9. Kabila-chotara
  10.....
  Wanabodi tuendelee kuhesabiwa.
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,746
  Likes Received: 12,827
  Trophy Points: 280
  Sensa kwa maendeleo
  jiandae kuhesabiwa
   
 3. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  nyumbani kwa Kongosho:
  jina:mrs kongosho kimbaunbau Asprin
  umeolewa ?: hapana
  kulikoni neno mrs: ndo jina la ukoo
  ukoo wenu unaitwa mrs?: kimya
  una watoto?: ndio
  wangapi ?: acha uchuro
  una nyumba: ndio
  iko wapi?: huoni hilo banda la visalfeti?
  Una akaunti benki?: hivi benki ndo nin vile?
  Kabila:la nyerere
  dini:huoni masalio ya tambiko hapo
  elimu?: nna kiu ngoja nimalizie ka'fanta'.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ha ha ha@Bishanga

  msensa: una mifugo

  bishanga: ndio

  msensa: itaje

  Bishanga: smoo hausi 32, watoto 68 wake 7
   
 5. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hahahahaha
   
Loading...