Sensa ya WACHINA nchini Tanzania

Sensa ya WACHINA nchini Tanzania

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Inasemekana nchini Tanzania kuna wachina wasiopungua milioni nane.

Tungeomba sensa ya hawa raia wa china ifanyike mapema ili kufahamu
ukweli wa madai haya.

Maana kila baada ya nyumba mmoja jijini Dar es Salaam kuna mchina mmoja.
Huko mikoani je? hasa maeneo yenye ujenzi wa barabara na viwanda.

Jijini Mbeya maeneo ya Mbozi kuna wachina wengi sana wamezaa wanawake
na kuwatelekeza, watoto wa kichina wanaozaliwa wanaongea kindali na kinyakyusa
tu. Unakuta mtoto wa kichina anaitwa Anyambilile Mwamboje.

Nawasilisha.

By: BUKU JERO
 
Last edited by a moderator:
8 million ni population ya nchi kama Belgium ............................ I doubt!! Lakini ni vizuri kuangalia na kuwacontrol hawa watu. Watakuja tawala watoto wetu huko mbeleni!!
 
safi sana, hadi akina mwa mwa mwa wa unyakyusan ni wachna sasa! Hawa jamaa wahuni sasa na wengi hawana kazi maalumu wako kuzamia tu huku
 
Mkuu ni vema ukashea chanzo chako kwa uwazi zaidi. Idadi ya juu zaidi ya wachina waliopo Tanzania niliyowahi kuisikia ni 30,000 (elfu thelathini). Pamoja na chanzo hapo Chini nimewahi kumsikia Balozi Lu akisema. Kumbuka pia China kuna watanzania wapatao elfu kumi. Mwenye idadi kamili ambaye naweza kumwamini ni idara ya uhamiaji.

Chinese trade in Tanzania: Localized and organized - China.org.cn
 
Nimepata sensa toka Mr. Yu yupo tz tangu 1974 wachina tz by April 2013 aliniambia walikuwa 371420 laki Tatu Sabini na moja elfu Mia nne na ishirini. Sijui kama ni kweli anyway.
 
Inasemekana nchini Tanzania kuna wachina wasiopungua milioni nane.

Tungeomba sensa ya hawa raia wa china ifanyike mapema ili kufahamu
ukweli wa madai haya.

Maana kila baada ya nyumba mmoja jijini Dar es Salaam kuna mchina mmoja.
Huko mikoani je? hasa maeneo yenye ujenzi wa barabara na viwanda.

Jijini Mbeya maeneo ya Mbozi kuna wachina wengi sana wamezaa wanawake
na kuwatelekeza, watoto wa kichina wanaozaliwa wanaongea kindali na kinyakyusa
tu. Unakuta mtoto wa kichina anaitwa Anyambilile Mwamboje.

Nawasilisha.

By: BUKU JERO

Mimi nadhani mngeanza na sensa ya pikipiki za kichina, mabasi, baiskeli, barabara, reli, viwanja vya mpira vya kichina, n.k., acheni ubaguzi.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: SG8
wachina wanakadiriwa kufikia lak tano na nusu na takwimu ziko pale ubalozini
 
Jambo la maana sana! Mimi hata sielewi faida hasa za hawa watu! Kwanza wako kivyao vyao, ajira wanajiajiri wenyewe, akiwekwa mTZ mshahara hauzidi elfu 90.
Kodi wanakwepa! Hivi wanatusaidia nini hawa watu wakiongezeka hapa nchini. Jana nilikua napata dinner pale Palm Beach nikaona hadi kinyozi yupo pale.
 
hapa arusha yuko mmoja maeneo ya stand kuu ya mabas ya dar,mwanza mbeya anachoma mahind na mahogo na wadogo zake mmoja yuko gereji kisongo na mwingine anatengeneza jift pale bomang'ombe bila kumsahau rafiki yangu kipenz 'TAN HU KAA'mtaiwani anayeuza matunda pale mtowambu barabara ya lake manyara na karatu pia pale nzega kwa kigwa yupo mmoja anafundisha nusary school ya kanisa moja maarufu nchini ila kali kuliko kuna mmoja niliwahi kumwona na kapu la karanga kule morogoro hi ndo tz shamba la bibi bhanaa
 
Inasemekana nchini Tanzania kuna wachina wasiopungua milioni nane.

Tungeomba sensa ya hawa raia wa china ifanyike mapema ili kufahamu
ukweli wa madai haya.

Maana kila baada ya nyumba mmoja jijini Dar es Salaam kuna mchina mmoja.
Huko mikoani je? hasa maeneo yenye ujenzi wa barabara na viwanda.

Jijini Mbeya maeneo ya Mbozi kuna wachina wengi sana wamezaa wanawake
na kuwatelekeza, watoto wa kichina wanaozaliwa wanaongea kindali na kinyakyusa
tu. Unakuta mtoto wa kichina anaitwa Anyambilile Mwamboje.

Nawasilisha.

By: BUKU JERO

Eti katoto ka kichina kanaitwa Anyambilile Mwamboje...hahaahha. Inamaana na huyo baba ake Mchina alibadili jina na kujiita Mwamboje?
 
Last edited by a moderator:
Zaeni nao tu huenda genes zao zika 'zimua' akili lala za Wabantu, pia kuwatoa uvivu
Nasikia hawa afadhali ni wazalendo kidogo katika nchi waliohamia, kiasi mbongo anaweza kuwaoa/kuolewa.Thubutu Kalasinga wee!
Ama kuwashughulikia hiyo sahau. Si rais wetu keshapewa Uprofesa huko ? Yatosha
 
Kwanini tuwasakame wachina tu? Wapo pia wakenya, wayuganda, wakongo, wanageria, waarabu, wahindi...nao wanafanya kazi hizohizo wanazoweza fanya watanzania
 
Nimepata sensa toka Mr. Yu yupo tz tangu 1974 wachina tz by April 2013 aliniambia walikuwa 371420 laki Tatu Sabini na moja elfu Mia nne na ishirini. Sijui kama ni kweli anyway.

wako nchini kwa misingi ipi? au ndo wachoma mahindi kariakoo kwa jina la wawekezaji?
 
Nimepata sensa toka Mr. Yu yupo tz tangu 1974 wachina tz by April 2013 aliniambia walikuwa 371420 laki Tatu Sabini na moja elfu Mia nne na ishirini. Sijui kama ni kweli anyway.

Wamewazidi wasandawe, wamang'at na waberibeig kwa pamoja
 
Hizo takwimu nakataa. Hata wahindi walio wengi kimtazamo wangu baada ya sisi weusi, sidhani kama wamefika hapo.
 
Back
Top Bottom