sensa: usiku wa leo utakua wapi?

euwiii...
sa Bajabiri mgao wa mahindi ya yanga nyie mtapata kweli?
maana idadi yenu haitakuwepo...LOL

sitahesabiwa hadi MJUSI ALIYEPELEKWA UJERUMAN ARUDISHWE-NIMEIPATA KWA JK
 
Last edited by a moderator:
same same here Madame B
sijui watatuhesabu hata kwenye magari yetu tinted 100%?

Yani hapa ndo shida na tatizo lilipo.
Nipo Parking,ndani ya tinted na wangu.
Sensa inapita,
Sijui kitakachotokea.
 
Last edited by a moderator:
kama watapita usiku imekula kwao.....sikatishi usingizi wangu mie
 
Yani hapa ndo shida na tatizo lilipo.
Nipo Parking,ndani ya tinted na wangu.
Sensa inapita,
Sijui kitakachotokea.

Madame B
cha kwenye gari nikitamu...
ila miguu inaumia...style limited!
 
Last edited by a moderator:
Madame B
cha kwenye gari nikitamu...
ila miguu inaumia...style limited!

Hamna hyo,
Umejaribu kitu cha kwenye Opa au Noah?
Miguu ina-relax pasi na udhia.
Ila kama kwenye Alteza lazima miguu italeta Mushkeli.
(hii kuna sehemu nimeisikia)
 
Last edited by a moderator:
minipo na nitakuwa msibani sijui karani kama ataleta pua yake hapa na watu wanamajonzi ya kufiwa'
 
Aiseee babaangu mi nitakuwa pale mwika saa 3 nitaamia mamsera nipate mbege then nisepe njumbani mkuu
 
saa hizi niko manyara barazani lounge, nimeagiza mchemsho wa samaki nausubiria, kesho asubuhi mapema sana naondoka kurudi kwenye mji wetu wa foleni, nahisi sitahesabiwa nitapishana na karani.
 
Hamna hyo,
Umejaribu kitu cha kwenye Opa au Noah?
Miguu ina-relax pasi na udhia.
Ila kama kwenye Alteza lazima miguu italeta Mushkeli.
(hii kuna sehemu nimeisikia)

Madame B
kwa maelezo uliyotoa yamenyooka sana...
kusikia haiwagi ivi bana...

ngoja Asprin akuje akuumbue na picha...
 
Last edited by a moderator:
minipo na nitakuwa msibani sijui karani kama ataleta pua yake hapa na watu wanamajonzi ya kufiwa'

poleni wafiwa wote...
kama vip nyie endeleeni...
sensa kitu gani bana.!
 
Suppose unamchukua dem wa karani unaenda nae gest. Karani atakapokukuta na dem wake, atashughulikia fumanizi au sensa?
uuuuwiii!!!! umeniacha hoi mkuu!!!!! mbona atajiudhuru ukarani sku hyohyo!!!!!!
 
Top Life Guest House Moro kushuhulikia mchakato wa Ubunge utarajiwa wa Afande Sele!
 
si bora usingizi
BADILI TABIA je ikiwa ndio mnataka kufika kileleni!
ngo ngo ngo! karani huyo...

yan BAGAH acha tu. sie wamepita tupo katikati ya mechi. walivogonga tukauliza nani, wakajibu sensa. tukawambia subiri kidogo, tukamalizia ndo tukafungua lol. . .
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…