Sensa: Ponda, wenzake wahesabiwa

Sensa: Ponda, wenzake wahesabiwa

Umeshawahi kusikia kiongozi wa dini amewahi kujitoa muhanga katika kulipua watu/vitu? vijana wao ndo huwa wanafanya hivyo kwa kuahidiwa thawabu wakifika kwa Mungu, sijui hao viongozi wao hawataki hizo thawabu!
 
mimi nlijua tu kuwa huu ni usanii na jk alilijua hilo.
 
Nimefurahi umekuwa na busara mzee..

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Tukumbuke kauli ya kiongozi mkuu wa waislam Mufti Simba alisema waislam watakaokataa kuhesabiwa ni Makaffir wakubwa.Pia Sheikh mkuu wa DSM Alhadi Mussa alisema waislam wasiohesabiwa hawana Adabu kabisa.Inaonyesha Sheikh Ponda kaamua kutii viongozi wake wa kiroho.
 
Kamishna wa sensa akendelea kusema Mkoani kilimanjaro walokataa kuhesabiwa ni WENGI MNO,.Mtanzania la leo, Lakini bado mnaamini zoezi limefanikiwa 95%!!! Mmeletewa habari ya Ponda msijadili posho za wenyeviti wa vitongoji walosimamia sensa, sababu za baadhi ya mawakala kushindwa kuwafikia walotayari kuhesabiwa! Ccm akili myingi kweli
 
ahesabiwe asihesabiwe mimi hainiongezei mshahara wangu so mwache aendelee na hamsini zake after all hainiathiri chochote. Adui wangu mkubwa ni ccm, huyu ndo katuletea umaskini hapa bongo
 
JAMANI si mlituambia atakae kubali kuhesabiwa ni KHAFIRI sasa ndo kusema na we Mh umekubali kuwa hivyo? ama kuna muda hii kauli ilifutwa? bora sasa wote tumekuwa MAKHAFIRI kumbe watu walikuwa wanatafuta u khafiri? simple lk that .HONGERA KIONGOZI karibu TUJENGE NCHI
 
Tukumbuke kauli ya kiongozi mkuu wa waislam Mufti Simba alisema waislam watakaokataa kuhesabiwa ni Makaffir wakubwa.Pia Sheikh mkuu wa DSM Alhadi Mussa alisema waislam wasiohesabiwa hawana Adabu kabisa.Inaonyesha Sheikh Ponda kaamua kutii viongozi wake wa kiroho.
 
Niwajuavyo magazeti wanagliweka tu picha yake ktk front page
 
Umeshawahi kusikia kiongozi wa dini amewahi kujitoa muhanga katika kulipua watu/vitu? vijana wao ndo huwa wanafanya hivyo kwa kuahidiwa thawabu wakifika kwa Mungu, sijui hao viongozi wao hawataki hizo thawabu!

point hapa ni sensa.
Suala la kujitoa mhanga is another issue.but kujitoa mhanga kwa ajili ya wengine hutokea popote.hata samson alijitoa,according to christian hata jesus alijitoa (according to xsitian not me).wapingania uhuru kama lumumba,steve biko.NOTHING NEW HERE.
 
ohooooo,hiyo nayo ni hoja?ujui kwamba sensa ndio msingi wa maendeleo? hivi kweli tutafika mbona kuna mambo mengi ya msingi kupinga katika uislam ,tuache jamani
 
Unajuaje kama kweli hakuhesabiwa?? TAKWIMU watuambie kahesabiwa wapi, na nani na lini?
 
ohooooo,hiyo nayo ni hoja?ujui kwamba sensa ndio msingi wa maendeleo? hivi kweli tutafika mbona kuna mambo mengi ya msingi kupinga katika uislam ,tuache jamani
wacha ujinga waislam hawapingi sensa ,,,wanapinga sensa isiyo na tija..wanataka maboresho ndani ya masuali ya sensa
wacha ushamba
tunapinga sensa ambayo itakosa taarifa muhimu za nchii hii
kwa nini tunapoteza fedha huku sensa itakosa data muhimu za raia wake/
 
Ni ukumbi wa Jaffar Complex (Ukumbi wa korea). adai hizo ni Proaganda dhidi ya jamii ya kiislam.
yeye walipokuja kwake makarani na baadahi ya vyombo vya habari aliwafukuza na aliwaambia yeye hahesabiwi.
adai magazeti mengi ya tz yamekosa upeo.
ashangaa kwanini wameshindwa kumohoji yeye badala yake wamebebea kichwa kichwa?
Mbona yanapohusu maswla ya Chadema vs CCM magazeti yanakuwa huru?
 
Ponda na wajinga wenzie wote wamehesabiwa haya kiko wapi na mijitu mijingajinga ndo imefuata ujinga huo wote mliokwepa kuhesabiwa jueni kuwa mmekubali kuwa WAJINGA
 
Niwajuavyo magazeti wanagliweka tu picha yake ktk front page

Picha ya nani? Ponda aliacha taarifa zake nyumbani mkewe ndo kazitoa sasa Ponda akapigwe picha msikitini akipata UDHU au wakati AMEINAMA?
 
mkuu molemo hata mimi ckupigwa picha wakti nahesabiwa na familia yangu. kwani kuna fungu lilitengwa na ofisi ya sensa ili tupigwe picha kuonyesha tumehesabiwa?

Nashangaaaaaaaaaaaa!!
 
Back
Top Bottom