STALLEY JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 622 Reaction score 219 Sep 6, 2012 #101 Sasa mbona hajaja hadharani kubadili msimamo kuwasihi waislamu wenzake wahesabiwe au ndo aibu
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 54,530 Reaction score 43,892 Sep 6, 2012 #102 mpayukaji said: Woooi! Nilichemsha. Nilimaanisha Issa Ponda basi kumradhini na nakushukuru Ritz kwa kuliona hilo. Click to expand... Mkuu una unamfahamu Father of All?
mpayukaji said: Woooi! Nilichemsha. Nilimaanisha Issa Ponda basi kumradhini na nakushukuru Ritz kwa kuliona hilo. Click to expand... Mkuu una unamfahamu Father of All?
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 54,530 Reaction score 43,892 Sep 6, 2012 #103 Abdulhalim said: Watu wene multiple IDs bana, lol, hadi 'laha' Click to expand... Kajichanganya ha haa ha.
Abdulhalim said: Watu wene multiple IDs bana, lol, hadi 'laha' Click to expand... Kajichanganya ha haa ha.
OSOKONI JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 10,965 Reaction score 5,344 Sep 6, 2012 #104 Mkuu wa chuo said: Ritz je umehesabiwa!? Funguka. Click to expand... Alikuwa wa kwanza aache akumbane na virungu na kuburuzwa kwa pilato ni muoga kunguru ana nafuu!!
Mkuu wa chuo said: Ritz je umehesabiwa!? Funguka. Click to expand... Alikuwa wa kwanza aache akumbane na virungu na kuburuzwa kwa pilato ni muoga kunguru ana nafuu!!