Hayo ya lugha mbona wengine hatukuulizwa? Mtaalam wa sensa atusaidie kwa hili...
USANII mtupu! Unaulizwa maswali yakiwa mengi hayazidi 7! Kweli tumedhamilia kufanya sensa kwa ajili ya mipango ya maendeleo??!!1.Unaitwa nani?2.Unamiaka mingapi?3.Ulizaliwa wilaya gani4.Ulizaliwa Mkoa gani?5.Kiwango chako cha elimu?6.Kazi yako?7.Sijui mengine watajibu wenyewe kwa niaba ......!?Imeniacha hoi, sijui kwa taarifa hizi fupi wanakusudia kupata nini..duh!Yaani TZ usanii kila mahali. Na mwisho wa siku bajeti ya kutengeneza hayo madodoso ni mabilioni na mengi ya hayo madodoso ni hewa
USANII mtupu! Unaulizwa maswali yakiwa mengi hayazidi 7! Kweli tumedhamilia kufanya sensa kwa ajili ya mipango ya maendeleo??!!1.Unaitwa nani?2.Unamiaka mingapi?3.Ulizaliwa wilaya gani4.Ulizaliwa Mkoa gani?5.Kiwango chako cha elimu?6.Kazi yako?7.Sijui mengine watajibu wenyewe kwa niaba ......!?Imeniacha hoi, sijui kwa taarifa hizi fupi wanakusudia kupata nini..duh!
mkuu imekuwa kama mchezo wa kuigizaHilo linaonyesha dhahiri serikali tawala ilivyo legelege na DHAIFU kama alivyosema Pm wao ya kwmb LIWALO na LIWE!
Safi sanaaaaa!!
Poleni sana ,ndio mambo ya dhaifu hayosio huko tu,hata mpwapwa,leo ni siku ya 3 hawafanyi kazi,kwa mfano mtu kapewa kaya 49 kuhesabu lakini amepewa makaratasi 10 tu.sasa tangu miaka 10 imepita kulikuwa hakuna maandalizi?
tunashukuru baadhi ya maeneo sensa yaenda vyema
mkuu napata wasiwasi kama takwimu za sensa hii zitakuwa sahihi.sio huko tu,hata mpwapwa,leo ni siku ya 3 hawafanyi kazi,kwa mfano mtu kapewa kaya 49 kuhesabu lakini amepewa makaratasi 10 tu.sasa tangu miaka 10 imepita kulikuwa hakuna maandalizi?
tunashukuru baadhi ya maeneo sensa yaenda vyema
mkuu vifaa hakuna ,simu imepigwa mkoani nikiwepo makarani wameambiwa wangoje viagizwe dar coz dodoma mjini kote vimeisha.Hata huku Kilimanjaro vimekwisha, kuna jamaa hapa wanasema kesho hawataweza kuendelea na zoezi hilo