rechungura1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 387
- 131
hi jf experts,anyone who knows how to load ms word with mathtype utility installed in web browser
i need to implement it in drupal site
think of writing the php scripts which automate the following
the user visits a page
he wants to wite something example comments ,he clicks on certain icon,the icon load the ms word from desktop,then ready for use
auto save the documents in webpage when complete.......
yeah hivyo hivyo ulivonielewa ndivyo nlivyomaanisha.............Em correct me kama nimekuelewa vizuri, unataka mtu anaclick akiwa kwenye web browser, then ifungue microsoft word hapohapo kwenye pc yake, aandike kitu kwenye word, afu akimaliza alichoandika kijipost kurudi kwenye web browser.. Ndicho unachomaanisha?
yeah hivyo hivyo ulivonielewa ndivyo nlivyomaanisha.............
Basi kama ndo hicho usijisumbue hutoweza, Kwanza sio php script kama ulivokua unahisi, hiyo inatakiwa iwe handled na javascript maana ni command kwenye client browser sio kwenye server, pili javascript ya kwenye browser unlike nodejs kwenye server side hairuhusiwi kuaccess internal files za kwenye computer, hii ni for security reasons, ingekua allowed site nyingi malicious zisingeomba udownload kitu zingeweka virus moja kwa moja kwenye machine ya watu bila kuomba access, browsers zote zimelock hii kitu.
Kwa hiyo unabaki na option ya kutengeneza a rich text editor yako mwenyewe ambayo client atairun kwenye website yako moja kwa moja na sio kuingia kwenye computer yake.. Au uwe na software yako mwenyewe uliyotengeneza mwenyewe ambayo itaruhusu communication hiyo lakini sio microsoft word, hawana option ya developer yeyote kuaccess software yao.
jf first ..................google laterRudi darasani ndugu hata umeshindwa kumuuliza Mr Google...
Basi kama ndo hicho usijisumbue hutoweza, Kwanza sio php script kama ulivokua unahisi, hiyo inatakiwa iwe handled na javascript maana ni command kwenye client browser sio kwenye server, pili javascript ya kwenye browser unlike nodejs kwenye server side hairuhusiwi kuaccess internal files za kwenye computer, hii ni for security reasons, ingekua allowed site nyingi malicious zisingeomba udownload kitu zingeweka virus moja kwa moja kwenye machine ya watu bila kuomba access, browsers zote zimelock hii kitu.
Kwa hiyo unabaki na option ya kutengeneza a rich text editor yako mwenyewe ambayo client atairun kwenye website yako moja kwa moja na sio kuingia kwenye computer yake.. Au uwe na software yako mwenyewe uliyotengeneza mwenyewe ambayo itaruhusu communication hiyo lakini sio microsoft word, hawana option ya developer yeyote kuaccess software yao.
Sory kwani haiwezekani hilo file la word likawa kwenye server? User akiclick linafunguka from server na akiserv linabaki huko na sio kuwa kwenye pc yake
Ndio maana nilisema ni bora utengeneze rich text editor ambayo client yeye atatumia kwenye browser kuedit file.. Wewe kama unataka liwe format ya microsoft word kwenye server haina shida, client yeye ataona editor kwenye browser sio word, akiedit kwake akimaliza kwenye server automatically ina save into word format.
Kama unaona rich text editor ni shida meaning unataka kabisa na client alione likiwa katika word format basi huna option zaidi ya kuruhusu kitu kinaitwa "remote connection" yaani client aweze kuaccess desktop ya machine yako na kuedit anavyotaka, hii option itaruhusu client moja tu at at a time.
Au tumia Google docs... i think hii ndo best solution, client ataweza kuopen the file ukiwa umeipreserve kwenye word format, lakini itafungukia kwenye google docs kwenye browser, hii ni as close to word at it can get kuliko kutengeneza a rich text editor yako mwenyewe.. Akimaliza na kusave bac linarudi kwenye server unasave into word format
Soma na hapa https://support.office.com/en-sg/ar...-authors-2a6059e7-9fe9-4e66-8ecd-f3d5372c27f4
Hamna jinsi ya ku-connect rich text editor na MS Word. Mwenyewe nimelifuatilia hili kwa muda mrefu. Fahamu kwamba .docx ni aina ya archive kama tujuavyo ZIP na Rar. Yaani kila kitu ulichokiandika kwenye MS Word, kinasaviwa kama separate file ndani ya hiyo archive, zikiwemo picha na mengineyo.
Anachojaribu kufanya mleta mada nilikijaribu kwa muda mrefu, hadi ikanilazimu kutumia Drobox API, yaani kwamba untaumia MS-Word iliyopo kwenye computer yako halafu file unaisave kwenye folder maalumu. Hapo Dropbox inaisafirisha kwenda kwenye repository zake, na kwa matumizi ya API, web app yako inaivuta kutoka DropBox na kurodhesha kwenye website. Halafu kwa matumizi ya Googledoc API, nimeweka kwamba unaweza tumia browser kuview file bila haja ya kudownload kwanza. Kwa mfano, unajua files kama Ms Word huwa lazima browser idownload kwanza. Hivyo kwa matumizi ya Googledoc API, unaview yote kwenye browser.
Yaani nimetumia msururu wa teknolojia kadhaa kufanikisha document collaboration. Natumai Kiswahili changu cha Kenya kimeeleweka hapa.
kwahyo swali langu pale juu mmeliona la kipuuzi sio? watu wa IT bwana...dharau sana.
Kiswahili chako nimekielewa vizuri, na kama umesoma reply yangu hadi mwisho nimempa recommendation nyingine kama Google Docs, na link nliyo nyingine ni ya sharing sites kama hizo Dropbox... Unavosema kusave from rich text editor to word haiwezekani unakosea, its very possible, in the end unaparse data kwenye server side inasave vizuri tu into word format.. Ni kama in node ukisema utafute middleware za kuparse into microsoft office documents unazipata nyingi sana hata github
Microsoft does not currently recommend, and does not support, Automation of Microsoft Office applications from any unattended, non-interactive client application or component (including ASP, ASP.NET, DCOM, and NT Services), because Office may exhibit unstable behavior and/or deadlock when Office is run in this environment.