Bantu Mhagama
Senior Member
- Feb 15, 2017
- 104
- 127
Mgombea ugavana jijin Nairobi (half-London of Africa)Michael Sonko Imemlazimu kuonesha vyeti vyake vya kitaaluma kuanzia elimu ya upili mpaka chuo kikuu baada ya kutuhumiwa amegushi vyeti vyake.
Tuhuma hizo zilizozuka siku za karibuni kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa Kenya na wapinzan wake kuwa Sonko anatumiia vyeti visivyo halal na kitendo hcho kinatafisiliwa km ukiukwaji wa sheria za uchi na kosa la jinai.
Kwa mfano bora alionesha Sonko pia 2napenda kumshawishi mbabe wa vita mkuu wa mkoa mwenye ushawishi kuliko wote aliyetimiza mwaka m1 wa utumishi uliotukuka,mbunifu,mleta dar mpya aige mfano kutoka kwa Sonko.
Na hapo chini ni attachment vyeti anuai vya Sonko vilivyo fanyiwa uchunguz na idara husika....Zamu yako sasa Watanzania Tunakusubiria Bro.
.....