Isack inno B
Member
- Oct 28, 2012
- 97
- 51
mkuu hiyo ndiyo bei yake kwa mimi kulingana na mjumuisho wa gharama zilizotumia, ila zipo za bei ndogo ambazo hata ujazo wake n mdogoMkuu fanya elfu tano hao senene
mkuu hiyo ndiyo bei yake kwa mimi kulingana na mjumuisho wa gharama zilizotumia na ubora wake, ila zipo za bei ndogo ambazo hata ujazo wake n mdogoBei kubwa punguza tule.
Katika msimu huu wa senene Victoria Vachino kupitia idara ya Lake v fishmonger wanakuletea Senene kutoka Bukoba kwa bei ya TSh7000/= zinapatikana mkoa wa Dar es Salaam Mbagala zakhem na Kimara Tembon, unaweza kuwasiliana nasi kwa Voda 0752714965, halotel 0628660132 na tigo 0718249862. Mteja unaweza kuletewa hadi ulipo kwa makubaliano.
Kwa wamikoa mingine pia unaweza kutumiwa
Aidha bidhaa zingine kutoka BUKOBA zilizopo kwenye ofisi zetu ni sato kilo 8500 jumla na 9500 reja reja, sangara 6500 jumla na 7500 reja reja, pia dagaa kutoka Bukoba zilizokaangwa zinapatikana kwa bei ya kuanzia Tsh1000/= dagaa kavu pakti Tsh1000/= dagaa wabichi unaweza kutumiwa kwa makubaliano kupitia ndege. zinapatikana mkoa wa Dar es Salaam Mbagala zakhem na Kimara Tembon, unaweza kuwasiliana nasi kwa Voda 0752714965, halotel 0628660132 na tigo 0718249862.
senene wamekaangwa, ukitaka wabich unaweza kunichek inbox nione kama naweza kukutumia kwa ndegeMkuu hawa senene wabichi au wamekaangwa?
Kimara temboni barabara ya saranga karibu na MICO dispensari au kwa mpemba, kwa bodaboda ni mwendo wa dakika tatu nauli 1000 kutoka stendi ya kimara tembonKimara Temboni ofisi gani, au toa maelekezo ya ramani yaliyo kamili
Yea ndiyo bei ya jumla hiyo, Kwa dar huwa zinauzwa 10,000 hadi 15,000. Kuhusu ujazo naomba nipime nitakupa jibuBei ya jumla na ujazo gani?
Nyegera waituWakora munonga.
Na kwa samaki bei ya jumla na kwa kg ngapi? Pia kumpelekea mteja unalipia gharama za usafiri?Yea ndiyo bei ya jumla hiyo, Kwa dar huwa zinauzwa 10,000 hadi 15,000. Kuhusu ujazo naomba nipime nitakupa jibu
samaki kama utachukua kuanzia kilo 50 unaweza kuletewa mkuu, kwan upo pande ganNa kwa samaki bei ya jumla na kwa kg ngapi? Pia kumpelekea mteja unalipia gharama za usafiri?
angalipa Pm Evelyn SaltHuku ndio kutamanishana kwenyewe
Nmeangalia hamna kitu, vipi?angalipa Pm Evelyn Salt
dogo amekupa maelekezo kuhusu utaratibu wa deliveryNmeangalia hamna kitu, vipi?