Agent Smith Member Joined Jul 2, 2026 Posts 62 Reaction score 140 Jul 22, 2026 Thread starter #21 Watu8 said: Mzee baba kama hauna size 45 ni bora ufunge tu duka...(joking) Wauza viatu na sandals sijui kwa nini huwa mnakosa size kubwa... Click to expand... Wabongo size zetu za viatu kwa wanaume watu wazima wengi tunacheza 40-44. Juu au chini ya hapo wapo wachache. Pia ukinunua balo hauoni ndani kuna nini kwahiyo utakachokikuta ndio hicho hicho.
Watu8 said: Mzee baba kama hauna size 45 ni bora ufunge tu duka...(joking) Wauza viatu na sandals sijui kwa nini huwa mnakosa size kubwa... Click to expand... Wabongo size zetu za viatu kwa wanaume watu wazima wengi tunacheza 40-44. Juu au chini ya hapo wapo wachache. Pia ukinunua balo hauoni ndani kuna nini kwahiyo utakachokikuta ndio hicho hicho.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,240 Reaction score 111,256 Jul 22, 2026 #22 Agent Smith said: Wabongo size zetu za viatu kwa wanaume watu wazima wengi tunacheza 40-44. Juu au chini ya hapo wapo wachache. Pia ukinunua balo hauoni ndani kuna nini kwahiyo utakachokikuta ndio hicho hicho. Click to expand... Basi sisi wa size 45 hadi 45.5 hapo tunapata shida sana aisee...
Agent Smith said: Wabongo size zetu za viatu kwa wanaume watu wazima wengi tunacheza 40-44. Juu au chini ya hapo wapo wachache. Pia ukinunua balo hauoni ndani kuna nini kwahiyo utakachokikuta ndio hicho hicho. Click to expand... Basi sisi wa size 45 hadi 45.5 hapo tunapata shida sana aisee...
Agent Smith Member Joined Jul 2, 2026 Posts 62 Reaction score 140 Jul 22, 2026 Thread starter #23 Watu8 said: Basi sisi wa size 45 hadi 45.5 hapo tunapata shida sana aisee... Click to expand... Ni kweli mkuu, nalifanyia kazi hilo suala.
Watu8 said: Basi sisi wa size 45 hadi 45.5 hapo tunapata shida sana aisee... Click to expand... Ni kweli mkuu, nalifanyia kazi hilo suala.