Agent Smith
Member
- Jul 2, 2026
- 62
- 140
Namba 3 na ya mwisho bei gani? Uko wapi? Ngozi lakini?Karibu kwa mahitaji ya sendozi za mtumba za kiume zenye ubora wa hali ya juu. Duka letu lipo kimara, stop over. Karibu na sheli ya rupeez. Bei ni nafuu.
Mawasiliano: whatsapp 0749343929
View attachment 3634735
Picha namba 3 bei yake ni shilingi 15000. Size ya mguu ni 40, ni pure leatherNamba 3 na ya mwisho bei gani? Uko wapi?
Sawa sawa mkuu. Location ni kimara stop over upande wa kutokea ubungo kwenda mbezi. Ukifika kituo cha kimara stop over ni mwendo takribani dakika tatu tu kwa miguu kufika dukani kwetu.Weka picha za size 45, bei, mahali ulipo na uaminifu ukuongoze mkuu
Bei yake ni shilingi elfu 18, lakini tayari kuna mdau kashainyakua fasta. Tunazo size 40 zinginePicha nambari moja size 40 bei ganii
Sawa sawa mkuuUkiweka namba 44 nitag!!
Bado sijaweka bango la jina. But soon nafanyia kazi ilo sualaLinaitwaje hilo duka, napita hapo rupeez kila siku
Hujaweka bango lakini unaweza kumuelekeza duka lilipo.Bado sijaweka bango la jina. But soon nafanyia kazi ilo suala
Kwa sasa naona size 45 hamna. Size kubwa zaidi tulizonazo ni 44 kama hizi pichani.
Location na mawasiliano nimetajaHujaweka bango lakini unaweza kumuelekeza duka lilipo.
Guu la Tembo 🙂 🙂Weka picha za size 45, bei, mahali ulipo na uaminifu ukuongoze mkuu