sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Kijana alipanga kufunga ndoa mwishoni mwa mwaka huu, mchumba wake akamwambia hataki kufanyiwa sendof kwao, kwahiyo wakakubaliana kutakuwa na harusi bila sendof. Kijana ameunda kamati ametualika tumsaidie.
Imebaki wiki wanakamati tukutane, mara ndugu wa msichana wakaja juu kuwa dada yao haolewi bila sendof maana ni msichana wa pekee.
Hivyo ndugu wakapanga sendof mwezi wa nne mwaka ujao, huku kijana anasubir kukutana na kamati wiki ijayo.
Huyu kijana ashauriwe nini? Aendelee na kamati ambayo ni ya miez takribani 7, ama aivunje kabla haijaketi, nimemshaurh adelete ndoa awaache wafanye sendof yao, maana miezi mi3 wangeweza kuandaa hiyo sendof. Wewe unamshauri je huyu kaka?