Sendeka na Pinda wateta Bungeni.

Sendeka na Pinda wateta Bungeni.

kaliro

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
76
Reaction score
14
Wakati wa kikao kinapoendelea sasa, Sendeka na kahamia kwa Waziri Mkuu na wanateta kwa kina. Huenda ni kuhusu hali tete inayovuma kuelekea Simanjiro, na jitihada za kuuzima moto huo.


Source😛icha ktk kikao cha Bunge kupitia TBC leo.
 
Jamaa, matumbo joto kwn chadema walimpa grace period wakifikiri n mpambanaji kumbe wapi; jimbo kalipoteza, hana jinsi tena
 
Back
Top Bottom