Mwakasege ni mjasiria dini tu ,yeye ndie mnufaika na yupo kazini,hizo ''semina ''zenu hazitawasaidia chochote maishani,endeleeni kumtumia pesa kwa Mpesa/Tigo pesa kupitia akaunti yake na ya mkewe,lakini pia nadhani umefika wakati TRA ianze kukata mapato anayoyapata huyu Mwakasege,badala tu ya kuwaakaanga akina mama ntile hawa wajasiria dini nao wakatwe mapato,kwani wanaingiza mamilioni huu sio wito bali ni kazi halali kama kazi zingine sampuli za wachungaji aina hii hawana tofauti na ma MC wa kwenye sherehe,ambao nao sijui kama wanalipa kodi ,ilihali nao wanaingiza mamilioni ,kama wanampenda Mungu,basi vile wanavyopata pesa kwa kuchangia hizo semina basi nao wachangie hayo mapato TRA,mimi nipo tayari kuchangia mashine ya EFD bana,najua watu watakuja na mipovu tele hapa lakini ukweli unabaki palepale sampuli hizi hazilipi kodi au wanakwepa kulipa kodi,kwa kufanya hivyo wanachuma dhambi kwa kutosema ukweli,dhambi sio uzinzi tu bali kutosema yale yanayotakiwa kuyasema.