Itapendeza sanaNimeanzisha uzi huu ili kupeana ratiba na taarifa juu na semina mbalimbali anazozifanya mwalim Mwakasege hapa nchini na hata nje ya nchi.
Karibu
Baada ya kutoka hapa kigoma ujiji alienda singida then kwa ratiba week iliyopita ilikua dodoma udom kwa ajili ya maombi kwa ajili ya taifa.Nimeanzisha uzi huu ili kupeana ratiba na taarifa juu na semina mbalimbali anazozifanya mwalim Mwakasege hapa nchini na hata nje ya nchi.
Karibu
Vipi kiingilio na sadaka hachukuagi?Nimeanzisha uzi huu ili kupeana ratiba na taarifa juu na semina mbalimbali anazozifanya mwalim Mwakasege hapa nchini na hata nje ya nchi.
Karibu
Asichukue?amekuwa yesu yeye?Vipi kiingilio na sadaka hachukuagi?