Semina ya Wanawake

Feb 20, 2015
7
2
4c521f31e1340b404c435b3dc6f75ff0.jpg
. ****** SEMINA YA WIKI*****

Hii ni semina kubwa kwa WANAWAKE, itakayofanyika 16/07/2016 Jumamosi hii pale King Solomon Hall kuanzia muda 3pm kwa kiingilio cha 10,000/=
Mwanamke unathaman kubwa kwenye Uchumi na Malezi bora. Njoo Ujifunze njia za ujasiriamali kutoka kwa wanawake waliofanikiwa na kuendelea kupata Heshima kwa mafanikio yao.
#Tatizo la Ajira kwa Akina Mama
#Ujuzi Wa Biashara Sahihi
#Njia za Kukuza Biashara
#Ukuuzaji wa Kipato Endelevu
#Ujenzi wa Familia Bora na n.k
Njoo Ujifunze namna ya kuondokana Sekeseke la Mikopo na Biashara za Mikopo
Nafasi Ni Chache Jipatie kadi yako mapema kwa kuwasiliana na
Nurdin Yussuph +255765100319
+255676100319

N:B
Mwanamke aliyefanikiwa n yule aliyejenga Uchumi wake kwa kupitia Ujasiamali na Malezi Bora kwa Familia Pamoja na jamii inayomzunguka
 
Back
Top Bottom