Semina ya Kilimo biashara na ufugaji
Kampuni ya CPM Business Consultants, inayojishughulisha na kutoa mafunzo ya ujasiriamali na ushauri wa biashara, itaendesha semina ya Kilimo cha Green House na ufugaji wa kuku na samaki kwa watu wote kwa malipo ya sh. 20,000 kila mshiriki. Semina hii itafanyika siku ya Jumamosi tarehe 13/6/2015 saa 5.00 asubuhi katika ukumbi wa Hawaii Kimara Baruti. Katika semina hiyo tutatoa fursa kwa washiriki kununua vitabu vya ujasiriamali ambavyo gharama yake ni sh. 6,000 kwa wale watakaohitaji.
Mada zitakazotolewa ni;
Kilimo cha green house
Ufugaji wa kuku wa kienyeji au Chotara
Ufugaji wa Samaki.
Jinsi ya kuanzisha biashara za aina hii au zingine bila mtaji au na mtaji kidogo.
-Namna ya kuongeza wateja na mauzo katika biashara yako
Maswali na majibu.
Kwa maelezo zaidi au kuthibitisha ushiriki kwenye semina, piga simu namba 0784394701 na kulipia ushiriki wa semina hiyo. Tafadhali mwambie na mwenzako, sambaza ujumbe huu kadiri inavyowezekana.
MKURUGENZI MTENDAJI CPM BUSINESS CONSULTANTS