Semina elekez kwa wakaz wa arusha.hasa wanaopinga ufisad. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Semina elekez kwa wakaz wa arusha.hasa wanaopinga ufisad.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Senator p, Nov 11, 2011.

 1. S

  Senator p JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rais Kikwete amepanga kufanya semina elekez kwa wananchi wa arusha.Itafanyka pale ktk hotel ya ngurukulwa.Lengo ni kurejesha imani kwa wakaz wa arusha juu ya chama chake,na kuwapa majumuisho ya utalii wa dunia,maana amechukua tuzo ya rais mtalii duniani.Na mikakat mipya jnsi ya kuongeza umaskini,msikose tarh mtashtukizwa tu.
   
 2. S

  Shega H Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi yupo nchini?mbona kimya sana
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Haaaaaa kasharudi kwani tz?
   
 4. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Sijui bana labda yupo maana kimya mno utafikiri nchi hii haina raisi bana hata Riz1 naye kimya dah! cjui kuna nini.
   
 5. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah..!ningejickia vizuri sana ningeambiwa kwamba anaumwa yupo hoi mda wwt anaiaga dunia. Ningefurahije...
   
 6. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Hivi ndege ya rais haiunguagi.?
   
 7. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Semina Elekezi!!!!!!
   
Loading...