Semi Final | PONJORO VS KENGE June 1, 2025.

Semi Final | PONJORO VS KENGE June 1, 2025.

NANI ATASHINDA LEAGUE HII?

  • PONJORO FC (Kinondoni)

    Votes: 0 0.0%
  • KENGE FC (Kawe)

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    0

Even MOre

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
261
Reaction score
382
Ni wakati mwingine tena tunakukaribisha katika mtanange wa mkubwa hatua ya Nusu final katika Kombe la wimbi la UTEKAJI TANZANIA.

Timu zilizoko uwanjani leo ni kati ya KENGE FC vs PONJORO FC, huku Kocha mkuu wa Ponjoro Fc kutoka Kinondoni akiwahakikikishia ushindi na kutinga final wale mbonga mboga wanaotetea watekaji.

Wakati huo huo Kocha mkuu kutoka Kenge Fc kutoka Kawe anayewakilisha Wananchi anasema wamejiandaa vya kutosha na kuna uwezekano Ponjoro Fc wakaweka mpira kwapani muda wowote. Kwani hahofii kupotea ushindi na atahakikisha timu yake inatinga final na watekwaji wajulikane walipo au wamepelekwa wapi.

Tuungane na wenzetu Studio Kawe Tupate wadhamini kabla ya mechi kuanza live.



Je, ni timu gani itashinda? Tabiri ushinde.

Kwenu Studio 🤝🏻🙌🏻
 
Back
Top Bottom