semeni wenyewe mimi no comment

nakumbuka ulishawahi iposti hii au umesahau!? Anyway PROMO @WORK SIO MBAYA.
 
wakuu wakisha landa landa na kutokwa povu majukwaani hatimaye hushusha pumzi na kupata pumziko hapo
 
Hoi picha ilishawahi kuwekwa before lakini so vibaya kwa sie malofa kusafisha macho.kie kie kie kie kie
 
Bado sijaona kitu hapo..kawaida sanaaaa...kuna wakali na wametulia tuliiii..
 
Hiki kistuli huwa kinasumbua akili za wakware sijui kwa nini...
 
mugongo mugongo ndiyo habari ya MUJINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…