semeni mnataka nini

semeni mnataka nini

Love, care, honesty,usiwe na match za ujirani and ATM yako na pin no yake

Just for love

Tusipokuwa na match ya ujirani mwema perfomance na uzoefu tutaupatia wapi?

Hahahahaaaaaa,wakati Taifa Stars wanajiandaa kukipiga na Tembo wa Africa (Ivory coast),lazima kucheza mechi na Kenya,Uganda,Burundi wakati mwingine hadi timu yetu ya vijana Serengeti boys (Ngorongoro heroes) ili kujiweka fiti na mechi yenyewe,hahahahaaaaaaa!JF bwana
 
haha wacheni kujidanganya love ina definition....soma bible utaikuta huko...nyie ambao hamjui definitions ndio maana mnachanganya kati ya love na infatuation


Itoe hiyo maana ya mapenzi
 
Conclusion haiwezi kufikia hata siku moja, men and women will never understand each other, men r from mars women r from venus, yaani tuko kwenye parallel lines ambazo ziko sambamba lakini hazikutani!

umenena....we will never understand each other
 
Back
Top Bottom