its all about love which lead to the following:
- money
- respect
- care
- security
- happiness
- funny
- jokes not too serious
- development
Mtu akifanya hivi mm sibanduki ng'oooo
- Pleasure
- Friendship
- Commitment
- Caring
- Honestly
- Intimacy
- Trust
- Communication
- Respect
- Recognizing differences
- Openness
- Hard work
- Responsibility
- Closeness
its all about love which lead to the following:
- money
- respect
- care
- security
- happiness
- funny
- jokes not too serious
- development
Hivi ushawahi kuona wapi swala anamuwekea masharti Simba mla nyama...
Wakat najarbu kuyafanya hayo yote wadau Watasema umeniweka kwenye chupa,,,,
Hujui kuwa ''enviroment distract the brain''
Hivi nyie wanawake hela zenu zina kaz gan?yan ni money money money+
Akili inapenda then moyo unafuata,so what if akil ikiwa spoiled?
.....ni kweli na ndo mana yana nguvu sana
Mengine yote sio shida sana lakini hapo kwenye red unaharibu kabisa, japo ndio wengi wanaangalia kwanza kama ulivyo mention first. Lakini hakika ni majanga huko, maana hakuna true/real love kama kigezo number one ni money. Any way ni mtazamo tu.
cc Ablessed, heri ya mwaka mpya mkuu huko ulipo.
sawa naweza kukupa vyote hivyo
swli ni je...! sita kwa sita haina umuhimu ktk hayo coz u don mention
it.....
Nawasilisha......