semeni mnataka nini

semeni mnataka nini

Ingekua hivyo basi ingekua balaa,hzo broken heart zngekuwa kila kona

Ahh 9mm broken hearts mbona zipo za kutosha, sio wote wakiwa heart broken wanalia au wanaongea kuhusu hilo, wengine wanapiga kimya kimya tu!
 
Kila mwisho wa mwaka tutaalika team za ujirani mwema tutathimini performance ke na me

Just for love

Ke haitaji mechi ya kupima nguvu. naturally ke yuko tayari kwa mechi wakati wowote. Ili mechi iwe nzuri me anatakiwa awe mchezaji hodari, thus justification ya mechi za majaribio kwa mwanaume ni inevitable.
 
Love
Caring
Understanding
Security n.k
 
Mengine yote sio shida sana lakini hapo kwenye red unaharibu kabisa, japo ndio wengi wanaangalia kwanza kama ulivyo mention first. Lakini hakika ni majanga huko, maana hakuna true/real love kama kigezo number one ni money. Any way ni mtazamo tu.

cc Ablessed, heri ya mwaka mpya mkuu huko ulipo.
Namshukuru Mungu kaka Lyagwa nimeuona na nafikiri mwaka huu ntazidi kupiga hatua kwenda juu na ninatarajia changamoto nyingi lkn nitavuka salama. Hii kitu ya mahusiano naona niwaachie vijana manake yangu yalishapita na huenda nina mtazamo wa kizamani kitu ambacho hupelekea kuwa na mtazamo tofauti juu ya hii kitu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom