semeni kama hii ni kweli

semeni kama hii ni kweli

Ikengya

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
614
Reaction score
179
Picha hii inamenifurahisha na nimegundua kuna ukweli wa kutosha.
 

Attachments

  • kweli.jpg
    kweli.jpg
    47.4 KB · Views: 557
Ooyooo naona wale wote wa kupenda amani na wao wataipenda hii picha lakini hapa bongo huwa hatuna viongozi wa kutushika mikono kisawa sawa na kutuongoza kwa njia ya amani na hizo zote tumezipokea kutoka nje tena kwa mikono miwieli lakini leo hao hao ndio wana pokea vijisenti na kutupandikiza chuki na uhasama bila ya huruma ya amri za mungu na hapo ndio utaona sisi tuna viongozi wa masilai tu na viongozi wa kutushikia mabakora na likipasuka wao huwaoni ni wako nje kibizy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom