Kwani hujawah zalisha? Siku hizi hospital ukipimwa hupew ufafanuz wa majibu yako?Wakuu naomba msaada hiyo result kama inaweza zalishaView attachment 2525122
Kazi rahisi tu ukitaka mbegu zako zisizalishe kama una Computr ya aina ya Laptop iweke mapajani mwako kila unapo itumia na simu yako iweke mfuko wakulia na uwe unapiga punyeto kila baada ya siku 3 na pia Vaa chupia ya boxer inayoweza kubana makende yako 2 basi hapo mbegu zako za kiume zitakufa kabisa na utakuw huwezi tena kuzalisha .Haya maisha hayaishi maajabu,,, yaan wakati mimi natafuta njia rahisi ya kuzuia mbegu zangu zisiwe na uwezo wa kuzalisha, kuna wengine wanataka kuzalisha.
Asee anaefahamu birth control for male tofauti na condom, vasectomy, pull out naomba anijulishe. Leo mwaka 2023 mchele kilo inauzwa shillingi 4000 je mwaka 2030 itauzwa sh ngapi na uko na familia ya watu wengi.