Sema Ulichoona

Sema Ulichoona

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
IMG-20171205-WA0005.jpg
 
Alievaa viatu vya mpira badala ya vya kukimbilia au kulikuwa na mechi pia
 
Nimeona mwanaume Mwenye truck suit ya blue akiwa ameonesha udhaifu wake baina ya mapaja yake kwa juu kidogo kama unaelekea kwenye kitovu.
 
Wadada wa kwwnye hiyo picha wamevaa vichupi (bukta ni vidogo miili nikubwa) juu ya skin tite badala ya kuvaa vichupi ndani ya skintite.

Kuna mmasai hapo kati ( wa kiume)amevaa kabukta ka kijani juu ya skin tite. Macho yake yanatizama wenzere wa dada aliyeshikiliwa nyonyo yake isidondoke.

Aliye enda kununua jezi za mazoezi hakuchukua vipimo mapema vya wachezaji. Aidha wali enda kununulia China.
 
Mkono kwenye treasure chest [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom