binafsi ningesoma nijue kutengeneza hela😂Ungepewa nafasi ya kusoma ngazi ya elimu inayofata katika elimu yako ungesoma nini na kwa nini?
Mpaka kesho nataka kusomea urubani ila ndo ivo tena 😕😁Ungepewa nafasi ya kusoma ngazi ya elimu inayofata katika elimu yako ungesoma nini na kwa nini?