Mtihani huu sasa PDiddy!
Masanilo ni Rev...atakuwa na list ndefu kweli huyu?
ukiwa kwenye mkate wa bwana siku zote babaparoko wanaanza kulishana kwanza
sasa nisjeshtakiwa kwa kuaribu sheria...alafu wanafwata watumishi wa bwana kama wewe sasa embu tuanze na wewe m ntakutetea kwa rev
kama huyu waweza hisi wamepita wangapi....sijakwambia waliotumia/ama kutumia mpira hiyo siri yake nipen list jamani ama nipen mji ntoe jibu