Sema ukweli umepitiwa/umepitia na wangapi mpaka sasa!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Na kama bado unapitia
umebook wangapi
embu wapenzi tukushane we ulie oa mpaka umefikia kwa mkeo umepitia wangapi na ulieolewa umepitiwa na wangapi...je na kama uko na vingast wako wangapi
hii unaweza fanya samaraizesheni ujue ni vipi awana jipya hata ukitoka nje ya ndoa

kwako

rev masanilo ...
Appostle's
aspirin
malaria kali
 
Mtihani huu sasa PDiddy!

Masanilo ni Rev...atakuwa na list ndefu kweli huyu?
 
babu asprin ana 205 mpaka sasa
wastan wa 2 kila mwezi...!!
me n roy none.
 
Mtihani huu sasa PDiddy!

Masanilo ni Rev...atakuwa na list ndefu kweli huyu?

Mpwa hawa wachungaji ndio wanaoongozaga kuwenye mizigo wanaamua kutulia ndio maana nikamtanguliza mpwa wangu anipe list niangalie na yangu nigawanye kwa miaka kadhaa tangu nilivyoanza kubalee niangalie nilikuwa na wangapi kwa wastan wa mwaka...mmh mpwa leo nilikuwa naandika majina nikaona karatasi inaelekea upande wa pili nikaulizwa unaandikisha wapiga kura nikaichana na kumshukuru mke wangu kwa kututuliza...mmmhh hili usiulize kwa mkeo ama utakunywa sumu wewe ama mkeo mkose wote list mtakayopangiana mbaya zaidi msiulizane hata majina maana .....lloh YASHABABI

Kwa REMMY mmenda jamani kumuaga "DK"" aliupta u DK bila kipingamizi na kuizinishwa na watnzania bila kupingwa sio hawa wakina Mh naniii wanahonga marekani wanajiita ma DK

KWANIABA YA WAKUBWA /MAHUSIANO/MAPNZI NA WENGINEO TUNAKUTAKIA HERI UKO ULIKO
RAHA YA MIILELE UMPE EE BWANA NA MWANAGA WA MILELE AMUANGAZIE APUMZIKE KWA AMANI

......AMA MSILAMU/MKRISTO/MPAGANI

SEMA AMEN
 
Mimi kuna wengine walikuwa wanajilengesha na kuwakimbia si unajua dudu tena kwani ganda la pipi si la kuamini sana, hivyo nilikuwa nazingatia sana sense ya sita 'instinct'.
 
Ukiwa kwenye mkate wa bwana siku zote babaparoko wanaanza kulishana kwanza
sasa nisjeshtakiwa kwa kuaribu sheria...alafu wanafwata watumishi wa bwana kama wewe sasa embu tuanze na wewe m ntakutetea kwa rev
 
ukiwa kwenye mkate wa bwana siku zote babaparoko wanaanza kulishana kwanza
sasa nisjeshtakiwa kwa kuaribu sheria...alafu wanafwata watumishi wa bwana kama wewe sasa embu tuanze na wewe m ntakutetea kwa rev

vya kaisari mpe kaisari vya mungu mpe mungu
 
attachment.php


KAMA HUYU WAWEZA HISI WAMEPITA WANGAPI....SIJAKWAMBIA WALIOTUMIA/AMA KUTUMIA MPIRA HIYO SIRI YAKE NIPEN LIST JAMANI AMA NIPEN MJI NTOE JIBU
 
Mi nitakujibu vizuri tu swali lako ila itabidi na wewe uumize kichwa kwa mahesabu,
Nina miaka 35 kwa sasa, na nimeanza ku do nikiwa 16,na kila mwezi nilikuwa na do wasiopungua 8,mpaka pale nilipoamua kuweka nadhiri kuwa sita do tena mpaka nikamilishe malengo yangu ya maisha na nije ku do na mke wangu wa ndoa,na nadhiri yangu sasa hivi ina miaka mitano,hapo naona umeshanipata nime do na wangapi mpaka leo hii.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom