Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,397
Jana Waziri Kingwangalla alitangaza kukamatwa kwa Jangili akiwa na Risasi takribani 365 pamoja na Magazine 2 na Msumeno kwaajili ya kikatia pembe ya Faru.
Jangili huyo inadaiwa anauhusiano wa kimafia na huyu Ndugu aliyetangaza kujivua vyeo vyote mchana huu....
Hakika amechukua maamuzi komavu kwasababu sasa hata akituhumiwa kuhusika na huyu Jangili basi atakuwa chini ya kivuli cha Upinzani na itaonekana ni chuki.....
Kongole kwa kuwa mjanja......