Sema Ukweli: Jangili aliyekamatwa ndiye kakukimbiza CCM

Jana Waziri Kingwangalla alitangaza kukamatwa kwa Jangili akiwa na Risasi takribani 365 pamoja na Magazine 2 na Msumeno kwaajili ya kikatia pembe ya Faru.

Jangili huyo inadaiwa anauhusiano wa kimafia na huyu Ndugu aliyetangaza kujivua vyeo vyote mchana huu....

Hakika amechukua maamuzi komavu kwasababu sasa hata akituhumiwa kuhusika na huyu Jangili basi atakuwa chini ya kivuli cha Upinzani na itaonekana ni chuki.....

Kongole kwa kuwa mjanja......
hakuna hadithi tamu kwa sasa..tuangalie njia ingine
 
Makosa si atakuwa ameyafanya akiwa CCM? Apambane na hali yake kama ni kweli
 
Jana Waziri Kingwangalla alitangaza kukamatwa kwa Jangili akiwa na Risasi takribani 365 pamoja na Magazine 2 na Msumeno kwaajili ya kikatia pembe ya Faru.

Jangili huyo inadaiwa anauhusiano wa kimafia na huyu Ndugu aliyetangaza kujivua vyeo vyote mchana huu....

Hakika amechukua maamuzi komavu kwasababu sasa hata akituhumiwa kuhusika na huyu Jangili basi atakuwa chini ya kivuli cha Upinzani na itaonekana ni chuki.....

Kongole kwa kuwa mjanja......
alipoanzia kuzungumzia katiba mpya huyo jangili alishakamatwa? Hawa inzi wa kijani buana!
 
Jana Waziri Kingwangalla alitangaza kukamatwa kwa Jangili akiwa na Risasi takribani 365 pamoja na Magazine 2 na Msumeno kwaajili ya kikatia pembe ya Faru.

Jangili huyo inadaiwa anauhusiano wa kimafia na huyu Ndugu aliyetangaza kujivua vyeo vyote mchana huu....

Hakika amechukua maamuzi komavu kwasababu sasa hata akituhumiwa kuhusika na huyu Jangili basi atakuwa chini ya kivuli cha Upinzani na itaonekana ni chuki.....

Kongole kwa kuwa mjanja......
jana hukuandika hii....!!
 
Ni kweli huyu jamaa ni mfadhili wa majangili. Kaharibu sana taasisi hii nyeti na ama kwa hakika cha moto atakiona.
 
Jana Waziri Kingwangalla alitangaza kukamatwa kwa Jangili akiwa na Risasi takribani 365 pamoja na Magazine 2 na Msumeno kwaajili ya kikatia pembe ya Faru.

Jangili huyo inadaiwa anauhusiano wa kimafia na huyu Ndugu aliyetangaza kujivua vyeo vyote mchana huu....

Hakika amechukua maamuzi komavu kwasababu sasa hata akituhumiwa kuhusika na huyu Jangili basi atakuwa chini ya kivuli cha Upinzani na itaonekana ni chuki.....

Kongole kwa kuwa mjanja......
Mkuu habari za huyu ndugu kuhama chama ni za siku nyingi saaaana. Zilikuwepo nyingi za under the carpet sio amekurupuka ni wazo la siku nyingi. Ziara zake zilikuwa na KUSUDI.
 
Jana Waziri Kingwangalla alitangaza kukamatwa kwa Jangili akiwa na Risasi takribani 365 pamoja na Magazine 2 na Msumeno kwaajili ya kikatia pembe ya Faru.

Jangili huyo inadaiwa anauhusiano wa kimafia na huyu Ndugu aliyetangaza kujivua vyeo vyote mchana huu....

Hakika amechukua maamuzi komavu kwasababu sasa hata akituhumiwa kuhusika na huyu Jangili basi atakuwa chini ya kivuli cha Upinzani na itaonekana ni chuki.....

Kongole kwa kuwa mjanja......
Ndio siasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom