EUR/GBP rates just set a fresh yearly high last week, and despite the sharp reversal lower, the pair continues to trade above descending channel resistance dating back to February 2021, suggesting that the bullish breakout remains on track. Momentum indicators remain bullish, with daily MACD trending higher above its signal line, while daily Slow Stochastics have stabilized around their median line. A slow, steady grind towards the 38.2% Fibonacci retracement of the 2020 high/2022 low range at 0.8698 may transpire during the remainder of June.Hii biashara imepigwa marufuku kwenye baadhi ya nchi zilizokuwa zinaongoza kutoa taarifa na kuendesha kampuni za uwakala wa masoko ya fedha kama huko Israel. Nashauri yeyote anayetaka kujihusisha huko afanye utafiti wa kutosha na kuelewa sana. Akiona sehemu haelewi au lugha inamkata chenga aache! Binafsi nimefatilia kidogo nikaona haina tofauti na kurusharusha pesa sportpesa. Naiweka kwenye kapu moja la michongo ambayo watu hupoteza pesa, kama vile kwenye network marketing.
Aisee mda utaongea mwaka mmoja ni mdgo sana apo unachungwa chungwaaa uonekane kweli forex inakupea faida ila sasa time will tell utakuja kupigwa na kitu kizito kichwani na usiaminiBinafsi Biashara ya FOREX, naisemea kwamba inahitaji uijue wewe mwenyewe kwa kutafuta knowledge yake na kuelewa ni nini unafanya uingiapo sokoni
1. Weka Trading Plan
2. Acha Tamaa ya kutaka kutajirika within a day
3. Usitegee Signals kwa mtu
4. Uwe na muda wa kutosha.View attachment 2264154
Huwezi kujua machungu yake mpaka pale mikeka mirefu inapoanza kuchanikaBinafsi Biashara ya FOREX, naisemea kwamba inahitaji uijue wewe mwenyewe kwa kutafuta knowledge yake na kuelewa ni nini unafanya uingiapo sokoni
1. Weka Trading Plan
2. Acha Tamaa ya kutaka kutajirika within a day
3. Usitegee Signals kwa mtu
4. Uwe na muda wa kutosha.View attachment 2264154
Mkuu watu wengi mnachanganya na kuiita gambling sababu wengi wanafanya na kuhisi kwamba nikiweka buy/sell leverage nimeiweka 100:1 hapo napiga mpunga ila kuna kitabu kimoja kinaitwa Currency Trading fro dummies kile kitabu ukikisoma unaelewa kabisa mbinu kadha wa kadha sema ni ngumu kukisoma mfano Fundamental Analysis imechambuliwa vizuri Technical analysis imechambuliwa vyema kabisa wengi wanaipenda Technical Analysis bila kua na background nzuri ya fundamental hicho kitabu kimechambua mpaka utumie broker wa aina gani na ujiulize ni features gani anazo ili uweze kua salama changamoto ya vitabu vingi nimeona vimejikita kwenye candlestick( technical analysis) hapo utaambiwa hadi soko la saa ngapi likiwa lina wind wengine wanaamka vipi taarifa kubwa ipo kwenye vitabuUkisema sio gambling unaanza uongo. Uwekezaji ambao hauna uzalishaji au utoaji huduma na huwezi kukadiria rejesho kwa msingi wa uchumi ni sawa na kubashiri. Kuuza na kununua huko unakosema wengine kwa lugha ngeni huita speculating, which really is gambling... hiyo mikakati(strategies) ya kubashiri(speculating) haina tofauti na ule unaofanyika kwenye michezo.
Ningependa kujua utofauti unaojua wewe tofauti na wasiojua watu waliosoma mambo ya fedha. Hata ukiangalia NYSE au LSE utagundua taarifa zote zinachakatwa na kompyuta tu wataalamu hawawezi kujua matokeo ya uwiano wa bei za sarafu hadi yachapishwe kwenye monitor, they can only react and try to presume on what caused the outcome. Utamshauri vipi mtu afanye hiyo kama kazi au uwekezaji wa pesa zake za uchache kwa jinsi sarafu zilivyo? You can put in place all the strategies you may like but in the end it is and always has been a gamble. Too risky, very low rewards.
iko hivi kwenye fx yetu hatununui sarafu yoyote tunanunua pair tu..Mkuu watu wengi mnachanganya na kuiita gambling sababu wengi wanafanya na kuhisi kwamba nikiweka buy/sell leverage nimeiweka 100:1 hapo napiga mpunga ila kuna kitabu kimoja kinaitwa Currency Trading fro dummies kile kitabu ukikisoma unaelewa kabisa mbinu kadha wa kadha sema ni ngumu kukisoma mfano Fundamental Analysis imechambuliwa vizuri Technical analysis imechambuliwa vyema kabisa wengi wanaipenda Technical Analysis bila kua na background nzuri ya fundamental hicho kitabu kimechambua mpaka utumie broker wa aina gani na ujiulize ni features gani anazo ili uweze kua salama changamoto ya vitabu vingi nimeona vimejikita kwenye candlestick( technical analysis) hapo utaambiwa hadi soko la saa ngapi likiwa lina wind wengine wanaamka vipi taarifa kubwa ipo kwenye vitabu
Swali unatumia vigezo gani kufanya speculation?iko hivi kwenye fx yetu hatununui sarafu yoyote tunanunua pair tu..
hizo batani mbili za buy or sell wamezidegin tu ili kuwezesha biashara iende.. so put in your mind hiki kitu.
unanufaika na nini kwenye fx yetu??? unanufaika na mijongeo ya bei kati ya sarafu tofauti mbili kwenye pair pale tu bei inapobalilikaa.kumbuka mwanzo kabisa fx, ilikuwa inaitwa bets on financial markets.
so ndugu zangu kwenye fx tunaspeculate(kutabiri) the movements of price(mienendo ya price) ikitokea tumetabiri price itapanda juu.. tunabofya batani ya buy na ikipanda kweli basi tunapata faida.. na ikitokea kinyume chake tunapata loss.
probability is also a business. and not all business is investment.
jamani vipi pair ya XAUUSD mnaionaje lakini??
natumia tu market structure tuSwali unatumia vigezo gani kufanya speculation?
Sasa 95% ya waliojifunza forex wanatumia njia hii ndo maana wenfi huona ni kama gambling jitahidi uielewe na fundamental halafu uwe unazicombine pamoja utaanza kuona matokeo tofauti ila vitabu vingi haviielezei fundamental in details...tafuta hii nondo "currency trading for dummies by brian dolan"Natumia market structure tu kama hivi..View attachment 2328916
fundamental nimesoma sanaa. fundanes a.ka. news zinaobey market strucutres..Sasa 95% ya waliojifunza forex wanatumia njia hii ndo maana wenfi huona ni kama gambling jitahidi uielewe na fundamental halafu uwe unazicombine pamoja utaanza kuona matokeo tofauti ila vitabu vingi haviielezei fundamental in details...tafuta hii nondo "currency trading for dummies by brian dolan"
Kwahiyo tuseme Forex na patapata zanashabihiana?iko hivi kwenye fx yetu hatununui sarafu yoyote tunanunua pair tu..
hizo batani mbili za buy or sell wamezidegin tu ili kuwezesha biashara iende.. so put in your mind hiki kitu.
unanufaika na nini kwenye fx yetu??? unanufaika na mijongeo ya bei kati ya sarafu tofauti mbili kwenye pair pale tu bei inapobalilikaa.kumbuka mwanzo kabisa fx, ilikuwa inaitwa bets on financial markets.
so ndugu zangu kwenye fx tunaspeculate(kutabiri) the movements of price(mienendo ya price) ikitokea tumetabiri price itapanda juu.. tunabofya batani ya buy na ikipanda kweli basi tunapata faida.. na ikitokea kinyume chake tunapata loss.
probability is also a business. and not all business is investment.
jamani vipi pair ya XAUUSD mnaionaje lakini??
sijakusoma mkuuKwahiyo tuseme Forex na patapata zanashabihiana?
ongea kwa mapana nipate kukupa ukweli kinachofanyika kwenye financial marketsKwahiyo tuseme Forex na patapata zanashabihiana?
fundamental nimesoma sanaa. fundanes a.ka. news zinaobey market strucutres..
my friend is trends
my friend is choch
my friend is BMS
my friend is HH,HL, LL,LH
the markets moves due to forces...
news only push prices fast in short period of times.. but zinafuata markets structures... if the market is uptrends we buy if down trends we sell, provided news are also respecting the trends.
news unazitumia kupata pips more for short period of times but they respecting the market structure. even the news is more volatility... you can sell more than buying with uptrends for any timeframes...
learn the market structure every will come up automatically..
tofauti na hapo hutasurvive kwa muda mrefu.. market structures inakupa uwanja mkubwa wa kuhold.. kwa muda mrefu hata weeks kadhaa , news inafeli mkuu.
hata hizo zingine kama BTMM sikushauri..
market structures ukiiva .. ni sawa na mtu kuvaa condomu kabla ya kumingilia kimwili malaya.
trading news ni kumwingilia malaya bila condomu kitakachokupata ni HIV+kaswende+kisonono+homa ya ini =kuchoma account.
huwezi tumia news kwenye volatility index, M.S can do it.
kwenye kusoma vitabu nishatoka kabisaa... niko practical tu.
nikikwambia unipe analysis ya pair kwa fundamentsl.. ili niweze kuhold week nzima utafeli najua. M.S can do.. provided na news zinhappen.
i do not your learning methology.. kama itakupa matokeo mazuri.
M.S you do analyisis during weekend days na the coming week you unapumzika jumatatu hadi ijumaa.. umehold tu.. fundamental cant do it..
unaweza kuwa unajua basics za M.S Ukajua umeiva. bado ni safari ndefu.+experience on communicating with charts bado.
hivyo vitabu vinakupa lambalamba tu.. ila ingia sokoni uone practical inavoenda.
we bado kabisa.. we nazania unaaply madesa ya vitabuni..Sasa 95% ya waliojifunza forex wanatumia njia hii ndo maana wenfi huona ni kama gambling jitahidi uielewe na fundamental halafu uwe unazicombine pamoja utaanza kuona matokeo tofauti ila vitabu vingi haviielezei fundamental in details...tafuta hii nondo "currency trading for dummies by brian dolan"