Anachokifikiria mtu ni Siri kubwa. Hapo mmepata bahati ya kuwakilishiwa baadhi tu ya maneno! katika fikra za binadamu. Na usilio lijua ni usiku wa kiza.
Kwa umri wa hawa watoto wanaweza kuandika achilia mbali kuzungumza? Huo mwandiko ni wa mtoto mdogo? kama siyo ni mtu mzima kawaandikia inamanisha anaweka maneno midomoni mwao kitu ambacho sio sahihi. hata kama kuna ujumbe wanataka kufikisha sio kwa kupitia watoto wadogo kwa vile hata kwenye vitabu vitakatifu waanachukuliwa kama malaika.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.