Sema mwenyewe, wamefanyana nini hawa?

Ndo nimeishasema mie narudi kwetu kama huna hela ya kunilisha we mwanaume

Hahahahahaaaa!
Usikute jamaa keshapanga mtoko na nyumba ndogo halafu kajaribu kusaundisha kakataliwa hapo! Teh teh teh!
 
Jamaa kesha haribu!

Aandae pampers tu!!

Hahahahahaaaa!
Hapa leo naweza kukata mbavu zangu afu nishindwe kula pasaka! lol!
...
Haya niambie sasa.
Kaharibu nini hata aandae pampers?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…