heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 8,041 Reaction score 13,380 Dec 23, 2024 #1 Yes wazawa na wakuja uzi special Mjini hapa Dar tangia ufike una Christmas ngap Binfsi jiji hili la dar nina Christmas 24 Aya wewe mwenzangu hadi sasa hii ni Christmas ya ngapi kuwepo jiji hili
Yes wazawa na wakuja uzi special Mjini hapa Dar tangia ufike una Christmas ngap Binfsi jiji hili la dar nina Christmas 24 Aya wewe mwenzangu hadi sasa hii ni Christmas ya ngapi kuwepo jiji hili
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,245 Reaction score 42,008 Dec 23, 2024 #2 Sisi ambao ndoto zetu siku moja ni kufika Dar acha tutasoma tu comments tuendelee kuwa motivated.
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,941 Reaction score 31,900 Dec 23, 2024 #3 Ngoja makontawa wa mji waje😂😂😂
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 9,372 Reaction score 25,653 Dec 23, 2024 #4 Litakuja jitu moja kutoka mashariki ya mbali litasema Nina Christmas nyingi alafu tukirudi kwenye uzi wa ajira utalikuta linasema natafuta ajira nimetoka mkoani kigoma baada ya maisha kuwa tough
Litakuja jitu moja kutoka mashariki ya mbali litasema Nina Christmas nyingi alafu tukirudi kwenye uzi wa ajira utalikuta linasema natafuta ajira nimetoka mkoani kigoma baada ya maisha kuwa tough
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 7,828 Reaction score 18,480 Dec 23, 2024 #5 Dar ndio wap?
Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 5,334 Reaction score 7,334 Dec 24, 2024 #6 tangu 98 hadi sasa japo kuwa si mkazi wa dar
Chance ndoto JF-Expert Member Joined Mar 8, 2017 Posts 4,621 Reaction score 10,847 Dec 24, 2024 #7 Rhz4567 said: tangu 98 hadi sasa japo kuwa si mkazi wa dar Click to expand... Ni chadema wachache sana ni wakazi wa dar.
Rhz4567 said: tangu 98 hadi sasa japo kuwa si mkazi wa dar Click to expand... Ni chadema wachache sana ni wakazi wa dar.
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 13,973 Reaction score 34,279 Dec 24, 2024 #8 Wazee hizi sio SIFA ZA KIJINGA walizoimba Wagosi Wa Kaya?
Funny boe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 3,619 Reaction score 8,136 Dec 24, 2024 #9 Hii inakuwa ni ya pili
K kadogo2 JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 3,278 Reaction score 5,212 Dec 24, 2024 #10 Ya 25