stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Mmoja tayari ni Marehem
Hapo ndio Unaona NYERERE hakuwa na Wafuasi wazuri Woote walikuwa Wanafiki... Wanaharibu CHINI kwa CHINI
Mkuu, wafuasi wa Nyerere walikuwa wengi miaka hiyo 1960's, 1970's ila unafiki ni hivi sasa. Kuwa mfuasi wa Mwalimu si kazi nyepesi na wapo walioiweza.
RIP Ditopile...
Hivi huyu wa kwanza kulia ni Kapten Komba?
Najua hapo no Dodoma, Makao makuu ya CCM. Hao wengine ni wakina nani?