Tukishaachana basi hana nafasi tena katika maisha yangu, sio mpenzi tena ni mtu tu wa kawaida kama watu wengine ambao huwa nakutana nao katika safari, makazini, kanisani, misibani then tunaachana, na siku tukikutana tena baada ya siku nyingi tunaanza kuulizana hivi tulikutana wapi kweli? na yeye namchukulia hivyo