Sema chochote kuhusu Yanga wakimataifa

Tunaiombea yanga ishinde Angola tupumue kwenye ligi ya shirikisho ,tuuze wachezaji na kupata hela za CAF
 
Mitoto mingine bana shida tupu......mechi ni Mbeya City na Yanga, lakini jitu Simba ....simba.kuna Simba pale inacheza???????!!!!!!!!mnaudhi sana mashabiki vitumbua.Kama Simba mbovu baba ako anayo?????
 
Inaitwa furaha fc,sisi kununa hatukumbuki mwisho lini,hiiiiiiiiiiiii ndiyooooooo yanga.
 
Kuipenda tuu yanga hakusaidii, inabidi upige hatua 2 mbele, mfano kuchangia maoni au hata michango ya maendeleo ya timu, yanga ina mashabiki zaidi ya milion 20 hapa Tz, hivi kweli kila mshabiki akiwa anachangia buku 1 kwa mwezi kwa ajili ya maendeleo ya timu baada ya miaka 2 yanga itakuwa tegemezi kweli? Eeeeheee si mnasema yanga ni timu ya wananchi!
 
Back
Top Bottom