unaona hatari gani kujitambulisha kama mwana fa? kama sio wewe mwambie ajiunge ndo tuamini kama anakusikiliza. atakua msanii wa kwanza wa jf nafikiri, na hii itafungua milango kwa wengine. mia
unaona hatari gani kujitambulisha kama mwana fa? kama sio wewe mwambie ajiunge ndo tuamini kama anakusikiliza. atakua msanii wa kwanza wa jf nafikiri, na hii itafungua milango kwa wengine. mia
ana uhusiano wowote na Football Association ya U.k FA ambao leo wameandaa mechi ya kukata shoka baina ya Timu yangu Manchester United na Vibonde Wetu Chelsea.
ana uhusiano wowote na Football Association ya U.k FA ambao leo wameandaa mechi ya kukata shoka baina ya Timu yangu Manchester United na Vibonde Wetu Chelsea.
unaona hatari gani kujitambulisha kama mwana fa? Kama sio wewe mwambie ajiunge ndo tuamini kama anakusikiliza. Atakua msanii wa kwanza wa jf nafikiri, na hii itafungua milango kwa wengine. Mia
Ningemshauri aitumie elimu yake kubadilisha kipato chake, Diamond kamuacha mbali sana na wakati yeye ni mkongwe kuanzia umri, kwenye game na hata elimu. Anatakiwa aonyeshe watu watamani elimu waone matunda yake
hivi kale kagari kake kekendu kashakauza? mwambie jf nmekutana na yule jamaa aliyekusaidia kugeuza gari baada ya wewe kushindwa maeneo ya kinyama kwa dada ako 2007. mia