jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
Ni vyema ukaahirisha uko uturuki kwa sasa si salamaTurkey napapenda.
Israel nampango wa kwenda huko siku mmoja
Kuna history na vitu vingi vya kujifunza.
Ni kweli hawa watu wameshikamana sana na ndio race yenye akili zaidi dunianWanapendana kuliko watu wote duniani,hawa wayahudi,wanaongoza mataifa yote makubwa kutokea israeli,ufaransa,ujerumani,uingereza,markani n.k top secret za mataifa hayo ni za kwao kutokea middle east Israel.
Ha ha ha[emoji1] [emoji1] [emoji1] nilkua sijalifikiria hilo mkuuKila unapoitaja Israel mtandaoni wao wanafuatilia kwa nini unaitaja? For their security and safety.
Duuh.. hatari sana,Kila unapoitaja Israel mtandaoni wao wanafuatilia kwa nini unaitaja? For their security and safety.
Yaani hao jamaa mkiwashirikiria watu wao hata 3 tu haijarishi wana makosa au hawana, baasi taifa zima mtapata shida.Ni kweli hawa watu wameshikamana sana na ndio race yenye akili zaidi dunian
Hawa jamaa teknologia yao n ya hali ya juu sana!! Bila hivo wasingeweza kukaa hadi Leo katka ukanda huu wa Afrika ya katiVipi mnazungumziaje kuhusu Teknolojia ya Israel??
Kinaitwaje hiki mkuu naona kina cameraView attachment 369237
Kitu kama hiki husaidia sana
Hiki ni kifaa gani na kinasaidia nini mkuu?View attachment 369237
Kitu kama hiki husaidia sana
Hawataki kuchanganyika na taifa nyingineYaani hao jamaa mkiwashirikiria watu wao hata 3 tu haijarishi wana makosa au hawana, baasi taifa zima mtapata shida.
wanapendana hatari na hakuna taifa ambalo linawajari watu wake kma lile kuanzia wafungwa.
Tatizo moja ni wabaguzi hakuna mfano
Yaani hao jamaa mkiwashirikiria watu wao hata 3 tu haijarishi wana makosa au hawana, baasi taifa zima mtapata shida.
wanapendana hatari na hakuna taifa ambalo linawajari watu wake kma lile kuanzia wafungwa.
Tatizo moja ni wabaguzi hakuna mfano
Hiki ni kifaa gani na kinasaidia nini mkuu?
Turkey napapenda.
Israel nampango wa kwenda huko siku mmoja
Kuna history na vitu vingi vya kujifunza.
Lakini hawezi kuwazidi waarabu wao ni wabaguzi wa kutupwa!!