Selling My Cars in a very Good Condition

Selling My Cars in a very Good Condition

String Theory

Senior Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
155
Reaction score
63
Nissan X-Trail
TZS 13.5Mil
CC 1800
Km 170,000
Call 0786 344355
2014-06-08 10.12.27.jpg
2014-06-08 10.13.08.jpg

Toyota Touring Hiace
TZS 16Mil
CC 2800
Km 160,000
Call 0786344355
2014-06-08 10.22.43.jpg
2014-06-08 10.27.43.jpg
 
Km 170000 imepigana vita vingi sana...
 
Mi nauza X-trail imetembea 86,000 kms na nauza 10m (Tsh.) ipo Dar
 
String kuwa mpole humu kuna majibu ya ajabu kweli.
Sie tuliozoea tunaona nisehem ya burudani.
Usishange mtu akakumbia bei hiyo unaniuzia pamoja na mkeo au?

Ushair wangu ni kwamba jaribu ku adjust bei,maana sios iri zipo juu sana
Maana kama Toyota Touring Hiace,hizi zimekuja kushushwa bei na Noah,kwahiyo inabidi kipindi fulani kuuza gari lazima usome alama za nyakati.
 
Duh! Gari km170000 bei m15 yaani imeenda ulaya na kurudi mara kadhaa! Mkuu punguza bei vita hata 10m
 
Duh! Gari km170000 bei m15 yaani imeenda ulaya na kurudi mara kadhaa! Mkuu punguza bei vita hata 10m

Mh,ilikuwa inafanya mishe ya ujambazi nini,?maana hiyo bei utadhani ndio inatoka japan leo.hizo km 170 ingekuwa na mdomo ingesema bora ipumzishwe kwa amani
 
Watu wanatoa comments utadhani wao ndio wanunuzi pekee. Kama ni ghali basi kaa kimya, kwani umelazimishwa kununua wewe?
 
String kuwa mpole humu kuna majibu ya ajabu kweli.
Sie tuliozoea tunaona nisehem ya burudani.
Usishange mtu akakumbia bei hiyo unaniuzia pamoja na mkeo au?

Ushair wangu ni kwamba jaribu ku adjust bei,maana sios iri zipo juu sana
Maana kama Toyota Touring Hiace,hizi zimekuja kushushwa bei na Noah,kwahiyo inabidi kipindi fulani kuuza gari lazima usome alama za nyakati.

JF ni sehemu ya burudani..... Nakubaliana na coments zako, Prices are negotiable.
 
Kwa aliye serious, nitafute uone gari. Engene zote ni mpya newly fixed from Japan despite kilometers reading on the dashbord
 
Back
Top Bottom