Seliani hospital (ALMC), huduma hafifu

Seliani hospital (ALMC), huduma hafifu

Hospital ovyo kuwahi kutokea, labda kama ni lishe wako vizuri. Wanaita HOTEL, bora mara mia AICC na Mt.Meru. Mgogoro wa kanisa na deni la kanisa nadhali liliteta madhara hapo sijui nini tatizo. Noma sana
 
Kwa wana JF wanaoifahamu hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) maarufu Seliani ni ukweli usiopingika kuwa hospitali hii ni mpya yenye jengo zuri, safi na ipo mahali ambapo ni rahisi kufikika kwa mtu anaehitaji huduma. Pia hospitali hii inamilikiwa na Kanisa jambo ambalo linawafanya watu waamini kuwa huduma zake zitakuwa bora kuliko hospitali za serikali. Kinyume na matarajio hospitali hii haina huduma nzuri kwa maana ya:-

-Hakuna ukarimu kuanzia mapokezi hadi kwa madaktari.

-Kuna processes kibao hadi kupata huduma utapita madirisha manne au zaidi ndio uonane na daktari hivyo wagonjwa husota muda mrefu kwenye foleni.

-Huduma zao pamoja na uhafifu wake ni very expensive. Gharama haziendani na huduma.

-Wahudumu hususani mapokezi ni wengi wamezidi badala ya kutumia wingi wao kuhudumia wagonjwa wao muda mwingi hupiga stori na kuchat huku wakihudumia kwa mapozi. Nadhani mpo wengi mnaokerwa na hospitali hizi za private kutoa huduma hafifu.
Kabisa halafu Wana majibu ya hovyo hawana utaratibu mzuri pia wanadharau sana, mtu anakuwa na appointment na Dr. saa Saba mchana ninachojua Mimi akifika mapokezi anapewa namba na kusubiri sio Serian ukifika wanakwambia kaa pembeni baadae mnatangaziwa hapo Sasa wa mwanzo anakuwa wa mwisho pia hawana tabasamu wale wahudumu wa mapokezi, ile hospitali ni tofauti na sifa tunazozisikia
 
jamani nawapinga kwa 100%. Binafsi naikubali sana hospital ya ALMC kuliko hospital yoyote ile Arusha, kwangu mimi mimi imekuwa msaada mkubwa sana kwangu. sababu zifuatazo.
1. dada yangu alikuwa na tatizo la kutopata mimba, alianzia Mt. Meru kama mienzi 4 bila kujua tatizo, then tukaagizwa kwenda AICC kulikuwa na Dr. wa wanawake pale amehudhuria zaidi ya mwaka bila msaada, mwisho tukaagizwa kumtafuta Dr. msuya yeye alimfanyia baadhi ya vipimo (vingine tulivifanya kwa Dr.mohamed) havikuwepo pale hospital yake, mwisho alimwambia kuwa mirija yake imeziba na hawezi kupata mtoto kwa njia ya kawaida mpaka apandikizwe. tukiwa katika process ya kutaka afanyiwe hivyo tulikutana na mama mmoja ambaye alitushauri tunde ALMC, kweli tulienda, tulipewa appointment ya kumuona Dr. wa wanawake, kwa kweli alimsaidia leo ana watoto 2 bila kupandikiziwa mbegu. Hapo nilianza kuiamini ALMC sababa dadangu alitafuta mtoto wa muda mrefu sana.

2. Nilimpeleka mtoto wangu wa miaka 2 kutahiriwa pale, nikaonana na Dr. anayehusika na upasuaji wa watoto, yeye alinishauri lazima mtoto afanyiwe uchunguzi kabla ya kutahiriwa, kwanza nilipinga sababu niliona kama ni gharama za bure, baada ya Dr. kunieleza umuhimu nilikubali mtoto wangu afanyiwe check up kwanza. Yaaani ilikuwa kama bahati mwanangu alikuta na appendix, ni muda mrefu alikuwa akilalamika maumivu ya tumbo, nimeshampeleka hospital nyingi kila akipimwa hakuonekana ugonjwa ikafika wakati nikaona ni jambo la kawaida, kumbe mwanangu alikuwa na kidole tumbo (appendix) namshukuru Mungu alifanyiwa operation zote yaani tohara na kidole tumbo na sasa ni mzima wa afya.

3. Binamu yangu alipata ajali mwaka jana, akavunjika miguu yote miwili, alilazwa Mt. meru, Dr pale alisema mguu mmoja unafaa kuwekwa POP ila huo mwingine lazima ukatwe, tulipopata hiyo taarifa ilitusikitisha sana sababu ni kijana wa miaka 20 tu tena yatima, nilikumbuka ALMC hospital nikashauri familia tujichange akajaribu huko, jamani sijui nimrudishie Mungu nini kwa ajili yake. Dr wa mfupa pale alishangaa sana kusikia kuu mguu ule ulitakiwa kukatwa, hakuamini, alituambia mguu ule ni wa kuwekewa chuma na mgonjwa atakuwa na uwezo wa kutembea kama zamani baada ya muda. Mungu mkubwa kijana sasa ni mzima na anaendelea na masomo yake.

4. Mwaka jana nafikiri mwenzi wa 8 or 9, nilikwenda kumsalimia ndugu yangu. kufika kwake nilimkuta jirani yake ana mtoto mgonjwa. alikuwa na miaka 4, katika kuongea nae alinieleza jinsi mtoto wake anavyoumwa, ni kama vile mwanangu alivyokuwa anaumwa na tumbo, alikuwa anahudhuria kwa Dr mariamu na yeye alisema mtoto ana UTI, kila mara alimrudisha hospital Pale AICC na kupewa dawa ila tumbo liliendelea kuuma na mwisho mtoto alianza kunya damu ila docta, tena specialist hakujua tatizo la mtoto, nilimshauri aende seliani (ALMC) kweli kesho yake alienda pale, mtoto alijulikana ana appendix, alifanyiwa operation na sasa ni mzima. mtoto huyu alianza kuuwa akiwa na miaka 2 pasipo kujulikana tatizo.

Sipendi uswahili, kiukweli naipenda sana ile hospital, nawaamini madaktari wake, wanajituma, wanaweza na wana moyo. Kwangu ndiyo changuo langu ninapofikiria swala la matibabu, sasa nikuulize wewe mtoa mada hivi kweli umewai kutibiwa ALMC???????????????????????? Hayo madirisha manne uliyopita kabla ya kumuona Dr. ni yapi????????????????????????????? me najua unaanzia reception, cashier, nurce. na kila kimoja kina umuhimu wake
1. Reception - lazima ukatoe namba ya file ili utafutiwe file or kama ni mara ya kwanza uandikishwe, bila kupitia reception sidhani kama kuna mtu ataona kuwa kuna mtu amefika na anahitaji huduma, labda mganga wa kienyeji.

2. Cashier - ukalipe ela, hiyo ni kawaida kwa hospital zote kulipa ela ya kumuona docta hakuna private hospital hata moja duniani utaingia kwa Dr. bila kulipa consulatation fees, kama huwezi nenda govement hospital, unafiriki gharama za kulipa wafanyakazi utalipa kwa maneno???????????????????

3. Nurce - yaani hapo me ndio napapenda huwezi nipeleka kwa docta bila kujua uzito wangu na pressure, napenda sana jinsi ALMC wanavyozingatia huu utaratibu.

Nimalize kwa kusema, naipenda sana ALMC, nafurahi huduma zake, ingawa mimi siyo mlutheran, nawapongeza sana KKKT kwa kufungua hospital kama hiyo ambayo imekuwa mkombozi wa wakazi wa Arusha.
Kwa hiyo wote sisi ni waongo wewe ndio mkweli? Kama ulipata huduma ikakuridhisha shukuru Mungu, halafu usisahau lawama kubwa hapa ipo mapokezi
 
Hapa ni kama tu umejitambulisha kuwa weee ni mmoja wafanyakazi goigoi wa hapo selian hospital, sorry, hii mada ni ya mwaka juzi nadhani,ila sasa hivi hali ni mbaya hata zaidi!! Hadi kumuona dokta inaweza kukuchukua hadi masaa 10!! Nimetoka hapo jioni hii kumuona kijana wangu mmoja aliyepata ajali kazini kwake, anasema hii ni hoteli na siyo hospitali, maana kama chakula kingekuwa dawa basi wagonjwa wote pale wangepona abruptly!! Gharana zao sasa!! Bora uende apollo india,niliwahi kutibiwa pale,hadi sasa vipimo vyangu vya maabara havionekani,na ni miaka miwili inaisha sasa,naijutia hela yangu niliyochangia ujenzi wa hospitali ile,bure kabisa!!
jamani nawapinga kwa 100%. Binafsi naikubali sana hospital ya ALMC kuliko hospital yoyote ile Arusha, kwangu mimi mimi imekuwa msaada mkubwa sana kwangu. sababu zifuatazo.
1. dada yangu alikuwa na tatizo la kutopata mimba, alianzia Mt. Meru kama mienzi 4 bila kujua tatizo, then tukaagizwa kwenda AICC kulikuwa na Dr. wa wanawake pale amehudhuria zaidi ya mwaka bila msaada, mwisho tukaagizwa kumtafuta Dr. msuya yeye alimfanyia baadhi ya vipimo (vingine tulivifanya kwa Dr.mohamed) havikuwepo pale hospital yake, mwisho alimwambia kuwa mirija yake imeziba na hawezi kupata mtoto kwa njia ya kawaida mpaka apandikizwe. tukiwa katika process ya kutaka afanyiwe hivyo tulikutana na mama mmoja ambaye alitushauri tunde ALMC, kweli tulienda, tulipewa appointment ya kumuona Dr. wa wanawake, kwa kweli alimsaidia leo ana watoto 2 bila kupandikiziwa mbegu. Hapo nilianza kuiamini ALMC sababa dadangu alitafuta mtoto wa muda mrefu sana.

2. Nilimpeleka mtoto wangu wa miaka 2 kutahiriwa pale, nikaonana na Dr. anayehusika na upasuaji wa watoto, yeye alinishauri lazima mtoto afanyiwe uchunguzi kabla ya kutahiriwa, kwanza nilipinga sababu niliona kama ni gharama za bure, baada ya Dr. kunieleza umuhimu nilikubali mtoto wangu afanyiwe check up kwanza. Yaaani ilikuwa kama bahati mwanangu alikuta na appendix, ni muda mrefu alikuwa akilalamika maumivu ya tumbo, nimeshampeleka hospital nyingi kila akipimwa hakuonekana ugonjwa ikafika wakati nikaona ni jambo la kawaida, kumbe mwanangu alikuwa na kidole tumbo (appendix) namshukuru Mungu alifanyiwa operation zote yaani tohara na kidole tumbo na sasa ni mzima wa afya.

3. Binamu yangu alipata ajali mwaka jana, akavunjika miguu yote miwili, alilazwa Mt. meru, Dr pale alisema mguu mmoja unafaa kuwekwa POP ila huo mwingine lazima ukatwe, tulipopata hiyo taarifa ilitusikitisha sana sababu ni kijana wa miaka 20 tu tena yatima, nilikumbuka ALMC hospital nikashauri familia tujichange akajaribu huko, jamani sijui nimrudishie Mungu nini kwa ajili yake. Dr wa mfupa pale alishangaa sana kusikia kuu mguu ule ulitakiwa kukatwa, hakuamini, alituambia mguu ule ni wa kuwekewa chuma na mgonjwa atakuwa na uwezo wa kutembea kama zamani baada ya muda. Mungu mkubwa kijana sasa ni mzima na anaendelea na masomo yake.

4. Mwaka jana nafikiri mwenzi wa 8 or 9, nilikwenda kumsalimia ndugu yangu. kufika kwake nilimkuta jirani yake ana mtoto mgonjwa. alikuwa na miaka 4, katika kuongea nae alinieleza jinsi mtoto wake anavyoumwa, ni kama vile mwanangu alivyokuwa anaumwa na tumbo, alikuwa anahudhuria kwa Dr mariamu na yeye alisema mtoto ana UTI, kila mara alimrudisha hospital Pale AICC na kupewa dawa ila tumbo liliendelea kuuma na mwisho mtoto alianza kunya damu ila docta, tena specialist hakujua tatizo la mtoto, nilimshauri aende seliani (ALMC) kweli kesho yake alienda pale, mtoto alijulikana ana appendix, alifanyiwa operation na sasa ni mzima. mtoto huyu alianza kuuwa akiwa na miaka 2 pasipo kujulikana tatizo.

Sipendi uswahili, kiukweli naipenda sana ile hospital, nawaamini madaktari wake, wanajituma, wanaweza na wana moyo. Kwangu ndiyo changuo langu ninapofikiria swala la matibabu, sasa nikuulize wewe mtoa mada hivi kweli umewai kutibiwa ALMC???????????????????????? Hayo madirisha manne uliyopita kabla ya kumuona Dr. ni yapi????????????????????????????? me najua unaanzia reception, cashier, nurce. na kila kimoja kina umuhimu wake
1. Reception - lazima ukatoe namba ya file ili utafutiwe file or kama ni mara ya kwanza uandikishwe, bila kupitia reception sidhani kama kuna mtu ataona kuwa kuna mtu amefika na anahitaji huduma, labda mganga wa kienyeji.

2. Cashier - ukalipe ela, hiyo ni kawaida kwa hospital zote kulipa ela ya kumuona docta hakuna private hospital hata moja duniani utaingia kwa Dr. bila kulipa consulatation fees, kama huwezi nenda govement hospital, unafiriki gharama za kulipa wafanyakazi utalipa kwa maneno???????????????????

3. Nurce - yaani hapo me ndio napapenda huwezi nipeleka kwa docta bila kujua uzito wangu na pressure, napenda sana jinsi ALMC wanavyozingatia huu utaratibu.

Nimalize kwa kusema, naipenda sana ALMC, nafurahi huduma zake, ingawa mimi siyo mlutheran, nawapongeza sana KKKT kwa kufungua hospital kama hiyo ambayo imekuwa mkombozi wa wakazi wa Arusha.
 
Kwa wana JF wanaoifahamu hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) maarufu Seliani ni ukweli usiopingika kuwa hospitali hii ni mpya yenye jengo zuri, safi na ipo mahali ambapo ni rahisi kufikika kwa mtu anaehitaji huduma. Pia hospitali hii inamilikiwa na Kanisa jambo ambalo linawafanya watu waamini kuwa huduma zake zitakuwa bora kuliko hospitali za serikali. Kinyume na matarajio hospitali hii haina huduma nzuri kwa maana ya:-

-Hakuna ukarimu kuanzia mapokezi hadi kwa madaktari.

-Kuna processes kibao hadi kupata huduma utapita madirisha manne au zaidi ndio uonane na daktari hivyo wagonjwa husota muda mrefu kwenye foleni.

-Huduma zao pamoja na uhafifu wake ni very expensive. Gharama haziendani na huduma.

-Wahudumu hususani mapokezi ni wengi wamezidi badala ya kutumia wingi wao kuhudumia wagonjwa wao muda mwingi hupiga stori na kuchat huku wakihudumia kwa mapozi. Nadhani mpo wengi mnaokerwa na hospitali hizi za private kutoa huduma hafifu.

True story.... mke wa Bro... alipigwa X Ray mahali tukaambiwa Mtoto Kakaa upande, then tukaenda pale na hiyo Picha bwana.....

Tukamkuta Daktari Mdada, tumelipa hela eti akajibu kwa dharau, kama Mtoto ajageuka shida ni nini? Tukamwambia tumekuja tu kucheki! Akasema Haina shida nenda I atajifungua!

Nikamwambia Bro.... huyu simwamini, ilikuwa J3, nikamwambia J5 turudi Selian tumwone specialist wa Sakina Mama, tumefika kapima kaangalia, kasema mwingizeni aandaliwe kwa operation, siku zimepita, Mtoto hawezi geuka man kondo Ali supply chakula..... atakufa, hakuna kungoja uchungu!

Kama tungemsikiliza yule daktari mshenzy tungeweza poteza Mama na Mtoto, akili ya daktari wa Selian, changanya na ya Kwako! Yani washachoka wale!
 
Back
Top Bottom