Selfika na JF: Snap it. Show it

Tuangalie basi uzi wa watu kuselfika na kujiachia usigeuke na kuwa wa kupost memes...Memes zina uzi wake wa vituko mitandaoni huko...

Mara moja moja memes sawa lakini siyo mtu unarundika memes kibao kwa mpigo.

Ni angalizo tu lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…