Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
mwana mpotevu katetemesha moyo.. selfika ya hatarii hadi mate yametoka lolππ..Tunahitahi kumuona Mwana mpotevu kwanza
Umekosea ni tiaraheiHujanijibu wewe afsa wa tiaraei [emoji23][emoji56]
Ndio hio nahitaji kuiona rafiki nirahisishie basi.. kitambo sana sijamuon huyo mrembo! Fanya manuva [emoji12]mwana mpotevu katetemesha moyo.. selfika ya hatarii hadi mate yametoka lol[emoji4][emoji4]..
πππ nifanye manuva gani jamani mbona mnanipa mtihani mzitoooNdio hio nahitaji kuiona rafiki nirahisishie basi.. kitambo sana sijamuon huyo mrembo! Fanya manuva [emoji12]
Wee mtu mzima buana ! Fanya wepesi aseeh[emoji849][emoji849][emoji849] nifanye manuva gani jamani mbona mnanipa mtihani mzitooo
waaaaoooo umependeza jamani mahondawLeo sina mambo mengi kabisa!View attachment 2096946
Weuweeeee π₯°π₯°π₯°Leo sina mambo mengi kabisa!View attachment 2096946
mmmh.cheupeLeo sina mambo mengi kabisa!View attachment 2096946
ππmmmh.cheupe
hakika wewe ni mrembo.kisura.kigoli.mwali,mlimbwendeLeo sina mambo mengi kabisa!View attachment 2096946
merciππ
hupitwi πmmmh.cheupe
una bahatimerci
Mhmmhmm! Unanijaza rafiki!hakika wewe ni mrembo.kisura.kigoli.mwali,mlimbwende
unajua kusifia kama mfale suleiman kwenye wimbo ulio borahakika wewe ni mrembo.kisura.kigoli.mwali,mlimbwende
kivipiuna bahati
Imeisha hiyoo