Itabidi uzi special wa kuhusu wa girlfriend zetu uanzishwe then nipost picha yake....
Mwana sisiemu πHuyu ni nanii mkuu?
Me nimekula [emoji23][emoji23]
Namhala. Mpaka Saint Anne amekuchoropoa. Bagosha [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mashallah mwili umejengeka haswa[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Jamaa ana packs kama zote hapo ukimbishia tu ni kibano
dooh!!
Nimekula jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wew sidhanii...
Yani nimeenda nimerudi wapo tu,afadhali umewakumbusha kula [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtasubiri sanaDon Clericuzio mpe dada go ahead
Hatari Sana [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Namhala. Mpaka Saint Anne amekuchoropoa. Bagosha [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni lichawi kwa hakikaIla huyu mganga katuchomoa akili [emoji23]
Mwana sisiemu [emoji14]
Masihara kwenye kula hapa kwangu hamnaga πππOnyeshaa tafadhali[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji7] mnunulie na remover sasa ili rangi ikibanduka tu anajisafisha mwenyewe
Pua yake kama ya Mimi hapa [emoji125]