Kuna wakati tunahitaji ku realise stress... Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya.. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya... Kuna wakati hatuhitaji kusoma post zenye kutafakarisha... Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia...
Solution hii hapa sasa.... Utashangazwa na matokeo take... Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isyo kifani... Fanya hivi hapo ulipo tupia picha yako.. Ya sehemu yoyote mwilini... Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa... Mimi nitaaza na hizi.. View attachment 1217156View attachment 1217157View attachment 1217158
Mkuu unafaa kuwa balozi wa mambo hadharani! Unaweza kuhamasisha hata hapa jf watu watupie picha zao na waache keep jifichaficha ili tujue mbivu na mbichi..🙄🏃
Mkuu unafaa kuwa balozi wa mambo hadharani! Unaweza kuhamasisha hata hapa jf watu watupie picha zao na waache keep jifichaficha ili tujue mbivu na mbichi..