Carleen JF-Expert Member Joined Nov 6, 2018 Posts 8,407 Reaction score 28,837 Sep 27, 2019 #501 uran said: Jamani labda useme hiyo mikono sio yako... Ila kama ni yako you are like that Click to expand... Sawa mkuu nimekubali, ila umeanzia mbali mara 'chemical concentration' while mtoto wa watu napaka mafuta ya mgando.!!
uran said: Jamani labda useme hiyo mikono sio yako... Ila kama ni yako you are like that Click to expand... Sawa mkuu nimekubali, ila umeanzia mbali mara 'chemical concentration' while mtoto wa watu napaka mafuta ya mgando.!!
Ma mbwa JF-Expert Member Joined Apr 15, 2019 Posts 1,387 Reaction score 3,451 Sep 27, 2019 #502 Hakika watu wameanza kunishangaza kwenye huu uzi kwani watu wameacha kutupia picha now ni full kujimwaya mwaya.
Hakika watu wameanza kunishangaza kwenye huu uzi kwani watu wameacha kutupia picha now ni full kujimwaya mwaya.
Sanchez magoli JF-Expert Member Joined Apr 24, 2015 Posts 4,056 Reaction score 8,543 Sep 27, 2019 #503 SweetieLee said: Hivyo vingine sijui ila kwa ufupi hapana unanikosea kwakweli.!! Usinifanye nitume my full pic hapa kwa khasira.!! Click to expand... Huyu jamaa atakuwa muha wa kigoma: mbishi kama nini Embu mtibitishie ili anyamaze kabisa
SweetieLee said: Hivyo vingine sijui ila kwa ufupi hapana unanikosea kwakweli.!! Usinifanye nitume my full pic hapa kwa khasira.!! Click to expand... Huyu jamaa atakuwa muha wa kigoma: mbishi kama nini Embu mtibitishie ili anyamaze kabisa
Carleen JF-Expert Member Joined Nov 6, 2018 Posts 8,407 Reaction score 28,837 Sep 27, 2019 #504 WALDO said: jamaa mbishi sana huyo tuma full aone maana kazidi ubishi Click to expand... Kuliko nitume full ni bora nikubali ameshinda mkuu.
WALDO said: jamaa mbishi sana huyo tuma full aone maana kazidi ubishi Click to expand... Kuliko nitume full ni bora nikubali ameshinda mkuu.
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 14,682 Reaction score 20,456 Sep 27, 2019 #505 WALDO said: jamaa mbishi sana huyo tuma full aone maana kazidi ubishi Click to expand... naona unatake advantage chaaap
WALDO said: jamaa mbishi sana huyo tuma full aone maana kazidi ubishi Click to expand... naona unatake advantage chaaap
Scorpio Me JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 6,119 Reaction score 7,950 Sep 27, 2019 #506 Agustino87 said: Nadhani stress za demiss ndo zilimmaliza mpaka kawa kimbau mbau na lozi wake Click to expand... mnamuonea bwana. Hivi mlozi analizwaje na mapenzi
Agustino87 said: Nadhani stress za demiss ndo zilimmaliza mpaka kawa kimbau mbau na lozi wake Click to expand... mnamuonea bwana. Hivi mlozi analizwaje na mapenzi
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,527 Reaction score 830,078 Sep 27, 2019 Thread starter #507 Clkey said: Mie huwa nikifika nakaza nafsi kweli Click to expand... Tutaenda wote siku moja usiogope
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 14,682 Reaction score 20,456 Sep 27, 2019 #508 SweetieLee said: Sawa mkuu nimekubali, ila umeanzia mbali mara 'chemical concentration' while mtoto wa watu napaka mafuta ya mgando.!! Click to expand... And you are age is 35+ or early 40's...
SweetieLee said: Sawa mkuu nimekubali, ila umeanzia mbali mara 'chemical concentration' while mtoto wa watu napaka mafuta ya mgando.!! Click to expand... And you are age is 35+ or early 40's...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,527 Reaction score 830,078 Sep 27, 2019 Thread starter #509 scorpio me said: mnamuonea bwana. Hivi mlozi analizwaje na mapenzi Click to expand...
Carleen JF-Expert Member Joined Nov 6, 2018 Posts 8,407 Reaction score 28,837 Sep 27, 2019 #510 Sanchez magoli said: Huyu jamaa atakuwa muha wa kigoma: mbishi kama nini Embu mtibitishie ili anyamaze kabisa Click to expand... you must be kidding me, nijichomolee betri mwenyewe kweli..!?
Sanchez magoli said: Huyu jamaa atakuwa muha wa kigoma: mbishi kama nini Embu mtibitishie ili anyamaze kabisa Click to expand... you must be kidding me, nijichomolee betri mwenyewe kweli..!?
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 14,682 Reaction score 20,456 Sep 27, 2019 #511 Sanchez magoli said: Huyu jamaa atakuwa muha wa kigoma: mbishi kama nini Embu mtibitishie ili anyamaze kabisa Click to expand... Akithibitisha give me a quote
Sanchez magoli said: Huyu jamaa atakuwa muha wa kigoma: mbishi kama nini Embu mtibitishie ili anyamaze kabisa Click to expand... Akithibitisha give me a quote
Carleen JF-Expert Member Joined Nov 6, 2018 Posts 8,407 Reaction score 28,837 Sep 27, 2019 #512 uran said: And you are age is 35+ or early 40's... Click to expand... don't force me to do this please.!!
uran said: And you are age is 35+ or early 40's... Click to expand... don't force me to do this please.!!
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,557 Sep 27, 2019 #513 Mbona umemkazia sana mkuu. Kama umemweliwa usipindishe nenda pm. uran said: And you are age is 35+ or early 40's... Click to expand...
Mbona umemkazia sana mkuu. Kama umemweliwa usipindishe nenda pm. uran said: And you are age is 35+ or early 40's... Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Sep 27, 2019 #514 Sakayo said: Aiseee Click to expand... Ebu uko unataka kubisha
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 14,682 Reaction score 20,456 Sep 27, 2019 #515 SweetieLee said: don't force me to do this please.!! Click to expand... Do you know that, pictures speak alot?? Nikuambie unawatoto wangapi? au uliwahi kubeba mimba ngapi??
SweetieLee said: don't force me to do this please.!! Click to expand... Do you know that, pictures speak alot?? Nikuambie unawatoto wangapi? au uliwahi kubeba mimba ngapi??
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Sep 27, 2019 #516 Mgagaa na Upwa said: Njoo na huku bhas Click to expand... Kuna nini cha ajabu
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 14,682 Reaction score 20,456 Sep 27, 2019 #517 Da'Vinci said: Mbona umemkazia sana mkuu. Kama umemweliwa usipindishe nenda pm. Click to expand...
Clkey JF-Expert Member Joined May 29, 2014 Posts 5,720 Reaction score 15,352 Sep 27, 2019 #518 Mshana Jr said: Tutaenda wote siku moja usiogope Click to expand... Nitajificha nyuma ya mgongo wako aiseee
Mshana Jr said: Tutaenda wote siku moja usiogope Click to expand... Nitajificha nyuma ya mgongo wako aiseee
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,527 Reaction score 830,078 Sep 27, 2019 Thread starter #519 Clkey said: Nitajificha nyuma ya mgongo wako aiseee Click to expand...
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Sep 27, 2019 #520 Nimeshamwambia lakini bado naona hajafungua huenda bado anatafuta funguo SweetieLee said: Mwambie.!! Click to expand...
Nimeshamwambia lakini bado naona hajafungua huenda bado anatafuta funguo SweetieLee said: Mwambie.!! Click to expand...