Ni watu wawili tofauti mmoja kavaa tight nyeusi... Mwingine pensi ya jeans.. Mmojawapo ni @mzigua
Jr[emoji769]
Hivyo vidole vingine siyo vya J.
Vya J navijua [emoji6].
Haya nambie, uko na Auntie nani hapo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio kaka jamani
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tutakopa wapi eti jamani
Mzigua90 najua wewe ndio uliovaa black, ila utanisameje, huyo mwenye jinzi ndio ugonjwa wangu. Sikawii kumpa funguo ya gari nikarudi home na bodaboda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzigua90 najua wewe ndio uliovaa black, ila utanisameje, huyo mwenye jinzi ndio ugonjwa wangu. Sikawii kumpa funguo ya gari nikarudi home na bodaboda
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Lete hiyo funguo nimpelekee rafiki yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine sisi ni Matomaso, mpaka tuone. Sema nini, mimi na wewe tuna unfinished business
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, daaah, mbona siaminiki. Mzigua90 mimi nilikuwa nakufahamu enzi hizo naingia jf kama guest
Nilikuwa nikiona picha mwili unasisimka
Sent using Jamii Forums mobile app