Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwenye picha mtoto anaonekana kageuza Shingo pembeni ni kiasi gani hajapenda ulivyojiachia hapo hakawezi tu kuongea ila kamechukia hata sura inaonesha
Kadogo kalikuwa kanamcheck mpiga picha,watoto wa mid 60s na early 70s walikuwa na akili za kitoto siyo kama nyinyi wa 80s mpaka 2000s.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…